fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Hii biashara ilikuwepo enzi na dahari hakuna wa kuiwezaWanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,
Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.
Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.
Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Kaazi kweli kweeeli yaani na sasa ndiyo biashara maarufu kuliko zote.Hii biashara ilikuwepo enzi na dahari hakuna wa kuiweza
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mmhsi nasikia siku hz huwa wanajaa pale Nyumbani park
Sasa hapo familia inahusu nini?Mkuu amini nakwambia ukifika pale msamvu kuanzia saa 5 usiku omba husiwe na familia ukapita sehemu zile ni aibu tupu
Kwani Mmawia ndo muongeaji halisi wa kiswahili? Ukishajiharibu uso na machanjo kibao unajikuta unajua kiswahili siyo!Tatizo lako wewe muhaya kiswahili kwako ni shida.
Huwezi kuwa na uelewa wa jambo bila kuielewa lugha iliyo tumika.
Naomba nitoe ushuhuda [emoji1787][emoji1787] siku moja nimetoka zangu bukoba nikafika Msamvu kama saa 5 ivi usiku kwanza gari ile kuingia itigi tu pale taa zikamulika malaya anapigwa pumbu kwenye roliWanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,
Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.
Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.
Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Mna hAkika wa chuo kweli!?Naomba nitoe ushuhuda [emoji1787][emoji1787] siku moja nimetoka zangu bukoba nikafika Msamvu kama saa 5 ivi usiku kwanza gari ile kuingia itigi tu pale taa zikamulika malaya anapigwa pumbu kwenye roli
Baada kama ya dk 5 nikamuona baba kaja kunipokea Dah nilijuta watu wanapigwa pumbu nje nje wengine wanachimbwa tope kabisa
Tunafika nyumbani kesho yake baba anasimulia anasema alipata usumbufu sana halafu wanasema siku iyo biashara imekuwa ngumu
Hiyo Tisa kuna sehemu wanapita Ambiance pale sinza Africa sana pale pameoza mazee na ndio ilikuwa njia yangu kubwa ile nilikuwa napita pale hadi saa 8 usiku Dah jaman acheni jua liwe kali tu kuna wale wadada wa UDSM TUMAINI SOCIAL WORK ARDHI wapo pale sasa wengine bado wana aibu kabisa
Mungu atusamehe
Unataka nikuletee na ID niliyoiokota auMna hAkika wa chuo kweli!?
Hapo ni kisanga mzee nishawahi kukutana na kama saa 9 iv dah ngoja nisiendelee [emoji24][emoji24][emoji24]Hapo africasana tu.niliitwa saa 3 asubuhi.
kumpooza nikampa buku maana aliniganda anipe huduma
Hiyo Hotel waliyopanga waturuki inaitwa GWAMI HOTELKuna kipindi nilikaa hapo Morogoro kuna hotel wamechukua Waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hapo nyuma Msamvu. Sasa siku za weekend hao waturuki huwa wanatoka out.. basi hao dada zetu wanakuja kujipanga kama mafungu ya nyanya. Mturuki akitoka anachagua kwa kugeuza geuza mithili ya nyanya au maembe.
HahahahaahahHaKuna kipindi nilikaa hapo Morogoro kuna hotel wamechukua Waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hapo nyuma Msamvu. Sasa siku za weekend hao waturuki huwa wanatoka out.. basi hao dada zetu wanakuja kujipanga kama mafungu ya nyanya. Mturuki akitoka anachagua kwa kugeuza geuza mithili ya nyanya au maembe.
Hahahahah huyu Gwami alishafikia uwezo wa kujenga hotel kabisa! Alikuwaga na Lodge nyingi miaka ile ya 2007-2008Hiyo Hotel waliyopanga waturuki inaitwa GWAMI HOTEL
Hivi kuna raha gani kugonga K ya kununua ambayo kila mtu anachopeka uboho wakeTatizo wale mkuu hata ukipungukiwa mia 200 wanakataa ! Pia hata uende mara ngapi hawakukopeshi wakati wa kwetu hapa wenyewe wanakuambia neno lao ugeni siku tatu yaani hapo ni ile siku ya pili sasa na ukifika ya nne unapewa mpaka discount,ila mkuu ni hatari sana maisha yale