Ukaguzi wakati wa kununua gari.

Ngoja ni save namba zenu, ya Mungu mengi ...anytime naweza kuachana na kupanda DCM na mwendokasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hadi file ukitaka kuna mafundi wapo mjini zile km znarudi na huwezi jua.

Mkuu unanunua gari ya 2015 kwenye informationa unaona ilinunuliwa na 80,000km. Assume unanua mwaka huu gari hiyo, unakuta gari ya 2015 inasoma 120,000km. Mkuu kwa akili za haraka unaona ni sawa? Kwa bongo hii miaka karibu 8 gari imetembea 40,000km tu?
 

Bongo usitumie akili sana


Mlimani cty pale gari zao ni 40000km hawachezi mbali tena gari za 2006 uko

Unakuta gari haina dent hata 1 cleaan kama ilikuwa kiwandani

Mtu bila kujiuliza hii gari kwann imetembea km chache na hii rangi mbn mpya kabisa analipia

Kumbe gari imetoka kuoga
 

Wale jamaa wa Mliman wengi ni masela zangu, wanachezesha sana mileage, gari inapigwa rangi inakaa ukija huchomoi asee
 
Kama gari imekua imported unaweza kujua actual kilometers iliyotembea kabla ya kua imported simply kwa kuchukua chassis number za gari alafu kazipaste kwenye google....taarifa zote za awali ya hiyo gari kwanzia rangi,km ilizotembea na defaults kama ipo yoyote zitakuja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo vizur sana kiongoz bt naomba uounguze bei uwe fair km garage zingine.
Arusha wapima kwa 40,000 garage fulan hvii
 
Hii ishu naona inawork kwenye baadhi tu ya magari. Siyo yote.
 
N
Hapana, Mimi siwezi ila inawezekana kwa mashine kama Delphi au Autocom kama ukipata hiyo mashine Original ya Msweeden.

Na bei ya hiyo mashine siyo mchezo.ni

Hapana, Mimi siwezi ila inawezekana kwa mashine kama Delphi au Autocom kama ukipata hiyo mashine Original ya Msweeden.

Na bei ya hiyo mashine siyo mchezo.
Napenda unavyo acknowledge. Utafika mbali sana mkuu
 
Kipimo gani kinatumika na factor zipi zitafanya mseme hii inakaribia kufa
Zipo BATTERY TESTER ambazo zinaonesha State Of Health(SoH) ya battery inakuwa in terms of % kati ya 0 mpaka 100.

Kulingana na Asilimia za SoH zitakazopatikana itarecommend kama hiyo Battery ni EXELLENT, GOOD, AVERAGE, POOR au REPLACE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…