Ukaguzi wa vyeti: Watumishi wa umma waliokusanya vyeti vyao walirudishiwa?

Davooo

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
486
1,000
Wakuu heri ya mwaka mpya,

Nimeshiba pilau la mama Mwajuma binti Said lakini kuna kitu kinagonga kwenye kichwa changu;

Ni hivi, kwa watumishi wa umma tulikaguliwa vyeti original na baada ya hapo kuna baadhi ya watumishi wakaambiwa tena wasubmit vyeti vyao tena original na hadi leo nadhani havijarudishwa.

JE NDIO KUSEMA WALE WOTE WALIOKUSANYA VYETI KWA AWAMU YA PILI NA KUPELEKWA BARAZA NDIO BYE BYE AU?
 

Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,816
2,000
Ukaguzi urudiwe rudiwe tena kwa kila mwajiri kumuinterview mtumishi wake. Maswali yahusiane na alikosomea mtumishi yaani awataje marafiki zake wakati yupo sekondati/Chuo awataje walimu wa shule . etc. Bado tunawaona watu waliogushi vyeti na sekondari hawajawahi tia maguu.
 

Davooo

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
486
1,000
Ukaguzi urudiwe rudiwe tena kwa kila mwajiri kumuinterview mtumishi wake. Maswali yahusiane na alikosomea mtumishi yaani awataje marafiki zake wakati yupo sekondati/Chuo awataje walimu wa shule . etc. Bado tunawaona watu waliogushi vyeti na sekondari hawajawahi tia maguu.
Ni kwel kabisa mkuuu,lakin hili la vyet kukaguliwa baraza hivi kwel wahusika kuna ajira tena hapo
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,842
2,000
Mimi napambana na shamba, vyeti sijaenda kuchukua toka 2015 maana huku shamba havihitajiki kabisa. poleni sn
 

BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,072
2,000
Naomba uache watu na scene zao ziendelee walihamia kwa faru johhny na sasa tuko na ewura na tanesco.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom