MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
View attachment 170956Hili nalo litakagulika kweli ?
sidhani
View attachment 170956Hili nalo litakagulika kweli ?
mie ungekuwa unakagua tigo zao ningekuunga mkono.
What's the objective? Lengo la uchunguzi huu ni nini? Unataka kuhusisha mapaja na aina ya magari yanayoendeshwa na wanawake? Something like, say: wanawake wenye mapaja manene huendesha polepole na hupenda sana kupiga honi..........etc
Hakuna uchunguzi/utafiti usiokuwa na objective.