Conglomerate au quartzJiwe aina ya felsper
Ova
Mkuu ni feldspar........Felsper
Ova
Kileseni chenyewe ni class 'D' mbembwe hivyo .
Mkuu apa una maana gani?Kwan Quartz haiwezi kuwa conglomerate?Conglomerate au quartz
Mkuu hapo namaanisha aidha ilo jiwe laweza kuwa ni conglomerate kwa maana lina muunganiko wa mawe kadhaa au ni quartz.Mkuu apa una maana gani?Kwan Quartz haiwezi kuwa conglomerate?