kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,568
- 2,196
huna loloteNimekuambia hii sio mada yake na unaweza kuanzisha mada hiyo mpya na nikachangia!
Inawezekana umesoma heading pekee halafu ukatoa komenti!
Msemakweli you are congenital liarMkuu;
Sasa kama husomi pumba zangu, hapa unafanya nini? Huoni kuwa unakinzana kimantiki?
Hivi hizi shule zinazofundisha ujinga mnazipata wapi ambako wengine hatuzipati?
udini na ukabila upo. kukataa kuujadili tutakosea sana. na mwisho wake utakua ni mbaya sana. wakati wa Jakaya udini ulisemwa waziwazi mpaka makanisa yaliandika waraka kwa serikali kutoa maoni yao. leo hii tukikataa na kusema udini haupo wakati ni juzi tu hapa sheikh amehojiwa kwa kutoa maneno ya kichochezi tutakuwa tunajidanganya.Hoja jadidi za namna hii ama tuseme wachangiaji "viona mbali" kama ninavyokuita mtoa mada, mkae kama timu ili kupambana na hoja za kichumia tumbo zinazotolewa na hawa "makinda" wanaofundishwa kuruka kabla hawajaota mbawa.
Imekuwa ukisema popote kuhusu Rais Magufuli, wao wanakimbilia kutaja ccm.
Je ni kweli mambo anayofanya Magufuli sasa hivi ni ya "mafisi" wa ccm?
Je Magufuli ana mafungamano na kulea kwa njia ya kuwatetea mibaka uchumi ya ccm?
Tujadili maendeleo ayafanyayo kuliko kuja na hoja za udini karne ya 21.
CDM wameshindwa hata kujifunza makosa ya CCM, CCM walijaribu kufanya propaganda ya aina hii, matokeo yake 2015 Arusha na Klm karibu yote ilienda CDM. Vivyo hivyo ndivyo itatokea kwa CCM, hao wote wanaopigwa propaganda sasa watajiona ni sehemu ya CCM na wataipiginia CCM haswaa.
Nimesema, suala la ukabila, ukanda na udini ni suala linalohitaji umakini mkubwa nchini.CDM wameshindwa hata kujifunza makosa ya CCM, CCM walijaribu kufanya propaganda ya aina hii, matokeo yake 2015 Arusha na Klm karibu yote ilienda CDM. Vivyo hivyo ndivyo itatokea kwa CCM, hao wote wanaopigwa propaganda sasa watajiona ni sehemu ya CCM na wataipiginia CCM haswaa.
Ni nani aliyechaguliwa ambaye hana sifa au ana under perform ? AG alichaguliwa na JK, IGP au CDF kutokea kanda ya ziwa si swala la ajabu, sote tunajua jeshi letu limejaa watu wa huko.Mada yako ni nzur ila ungeshaur nini kifanyike.Je n kweli kua serikal ya Magufuli haina ukanda ndani yake..Je unavyosema ukanda haupo Tz.Mfn n ktk Teuz za Rais alizofanya...Sijaona akizingatia balance ya Ukanda..Huenda Magu anataka atoe shukrani zake za uchaguz kwa kupata kura nying kanda ya ziwa..Ili 2020 apate cha kujinad aje awambie na ndio maana niliwapa IGP,na ndio maana nilimteua AG,na ndio maana niliwapa Naib Jaj Mkuu,Na ndio maana nilimteua Mkuu WA Majesh hapa,orodha n ndefu sana..Ya wateule kutoka kanda...
Kwa hiyo kuwa ndugu wa Magu ndio hana haki ya kufanya kazi serikalini au tatizo ni nini hapa ?Hivi mbona mnakuwa watu wa ajabu kiasi hiki? Kwa nn mnajidhalilisha hivi, tena eating wazima!!!Inasikitisha mno.
Kwenye Ile press Lissu alizungumza mengi,na kutoa mifano kadhaa kuthibitisha hoja zake,lakini cha kushangaza mmekomalia jambo moja tu,tena LA mfano uliodhahiri.
Hoja hazijibiwi kwa maneno yA kuokoteza wandugu...
Lete majibu ya kisayansi kuthibitisha uongo WA Mh Lissu. Mje mtuambie Yale ama wale aliyowataja kukazia hoja yake ya Ukanda na ukabila hawatoki huko kanda ya ziwa,na hawana uhusiano wowote Na Mh Rais.
Lakini pia mtuambie(kwa evidence) kuwa Yule mlipaji mkuu WA serikali, katibu mkuu fedha hawana unasaba na mkuu WA nchi.
Pia, mbunge WA Chato,ambaye pia ndo naibu WAziri nishati na madini amebaki ilhali waziri wake ametumbuliwa!!!
Njooni na majibu sio kelele na vitisho vya kijingajinga
Wameleta hoja ambayo itawaumiza sana 2020, hivi kwa propaganda za namna hii wanategemea kupata jimbo kanda ya ziwa 2020, CCM tayari wamejifunza makosa yao 2015 kwa propaganda za namna hii dhidi ya kanda ya kaskazini. Inasikitisha CDM wanashindwa kujifunza mambo yaliyowazi, ila muda utaongea tu.Nimesema, suala la ukabila, ukanda na udini ni suala linalohitaji umakini mkubwa nchini.
Sifahamu wamejiandaa kwa kiwango gani.
Muda utatoa jibu sahihi.
Sitaki kuifunga mada kwa kutoa hitimisho.Mada yako ni nzur ila ungeshaur nini kifanyike.Je n kweli kua serikal ya Magufuli haina ukanda ndani yake..Je unavyosema ukanda haupo Tz.Mfn n ktk Teuz za Rais alizofanya...Sijaona akizingatia balance ya Ukanda..Huenda Magu anataka atoe shukrani zake za uchaguz kwa kupata kura nying kanda ya ziwa..Ili 2020 apate cha kujinad aje awambie na ndio maana niliwapa IGP,na ndio maana nilimteua AG,na ndio maana niliwapa Naib Jaj Mkuu,Na ndio maana nilimteua Mkuu WA Majesh hapa,orodha n ndefu sana..Ya wateule kutoka kanda...
Msamehe bure tu huyo. Ya kwao kete ni makinikiaWe mpuuzi mmesahau nyie ndo mnaosema cdm chama cha kikabila na kikanda Leo mmpe practice ukanda na ukabila mnaelezwa ukweli mnatumia mapoliccm
Kwa hiyo kuwa ndugu wa Magu ndio hana haki ya kufanya kazi serikalini au tatizo ni nini hapa ?
Makamu wa Rais- Zenji
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika- Mbeya
Mawaziri wandamizi
Lukuvi- Iringa
Mwakyembe- Mbeya
Mhagama- Ruvuma
Simbachawene- Dodoma
Makamba- Tanga
Ummy mwalimu- Tanga
Mpango - Kigoma
Ndalichako- Kigoma
Muhongo- alikuwa kutoka Mara
Nape - alikuwa kutoka Lindi
Kabudi - ???
Huo upendeleo upo wapi hapo ?
Madai ya viongozi wakuu wa CHADEMA ya kudai Rais Magufuli ni mkabila na anapendelea watu wa kanda ya Ziwa na Wakristo ...
...
Sikushangaa sana kusikia tamko la Edward Lowassa na Tundu Lissu kuhusu Udini, Ukabila na Ukanda, These people are brassy and racing against time!
Hoja ya Ukabila, Ukanda na Udini ni hoja ambayo ni ngumu sana nchini na yenye kuhitaji uangalifu mkubwa(delicate business) na kama ukifanya bila uangalifu mkubwa unaweza kujikuta unapoteza hata kile ulichonacho.
...
CHADEMA wakaitumia silaha ya Udini kwa Rais Kikwete kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 wakajikuta wanawapoteza Waislam wengi.
Sielewi CHADEMA wamejiandaa kiasi gani kuhusu hii hoja ya Ukabila, Ukanda na Udini wa Rais Magufuli na kama wakishindwa kuiuza kwa wananchi wengi, hata kile kidogo walichonacho kama mtaji wa kisiasa wanaweza kujikuta wanapoteza.
Huyo mpwa wa Magu alikuwa tayari ni pay master wa Tan Road, ameshafanya kazi na Magu na alikuwa serikalini. Kuchaguliwa kuwa katibu mkuu si kitu cha ajabu, CV yake inajitosheleza. Vingenevyo useme ana tatizo gani au kuwa ndugu na Magu ndio kuna mnyima sifa ?Bado haujamuelewa Mh Lissu ama kwa makusudi ama kwa kuwa uwezo wako wa kuelewa masuala nyeti upo chino Sana.
Lakini Kama hivyo ndivyo na majibu ya hoja zake mnayo,ya nini kumuongezea umaarufu bure!
Njooni kwenye hadhara na mtoe hayo majibu.
Lakini pia mkumbuke kuja na vielelezo makini na sifa za kitaaluma na weledi za hao wapwa WA mkuu aliowaweka kwenye chungu huko hazina,msisahau na mchakato uliowafikisha hapo.
Hao wote uliowataja ni wanasiasa.
Kumbe kweli hujasoma?Hamna mtu wa kusoma pumba zako kwasababu zinajulikana na majibu lazima yapo tayari
Huyo mpwa wa Magu alikuwa tayari ni pay master wa Tan Road, ameshafanya kazi na Magu na alikuwa serikalini. Kuchaguliwa kuwa katibu mkuu si kitu cha ajabu, CV yake inajitosheleza. Vingenevyo useme ana tatizo gani au kuwa ndugu na Magu ndio kuna mnyima sifa ?
Huyo Lissu dada yake alikuwa mbunge wa vitu maalum CDM, watoto wa Ndesamburo ni wabunge wa viti maalum CDM, hawara wa Mbowe, Mukya ni mbunge viti maalum CDM, hao wote Lissu anaona sawa ila mpwa wa Magufuli si sawa kufanya serikalini hata kama ana sifa.
Acha afunzwe adabu kwanza, huwezi kuropoka tu kuhusu ukabila, ukanda na undugu halafu ukaachwa hivi hivi tu.Sasa Kama majibu mnayo na mnaamini hayana chembe ya mashaka kwa nini mnahangaika na Lissu namna hii?
Si muite waandishi na nyie myaeleze hayo!!!