Thibitisha kwa kutaja majina. Wacha kukariri uvumi wa mitaani.Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda
Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
Katiba ya TFF iko wazi. Vyeo vitatu vya juu lazima vikaliwe na Wahaya. Kama unapinga nenda mahakamani. Wacha kulialia kama kama katoti.Wahaya wahamishie tff bukoba
Kama wanaojua English ni dhambi kuongea? Jinyongeni.Hapana English maana wao hata kama hawajasoma wanaongea
Hata timu za Taifa jingine zikija Tanzania zinafikia hotel ya mhaya (D Mage Hotel) kinondoniRais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda
Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
Hamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.Ni kweli mkuu uyanga na usimba ni tatizo kwenye soka letu, lakini katikati ya shida hiyo ukiongezea ukabila tatizo linakuwa kubwa zaidi. jamaa wajifunze kufanya kazi na makabila mengine
Polisi Dar walikataliwa tuhuma zao kuhusu Lufunga kuwa na kadi nyekundu..mkabebwa mji ukawa kimya...vigezo vile vile vilivyowabeba Simba kwa Lufunga ndio vinapigiwa kelele (rufaa ilichelewa na laki tatu hawakuwa nayo)..Tanzania haina ukabila Raisi Magufuli angemteuwa Mh Majaliwa?
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Tutawaondoa kwa hoja, tukishindwa tutamuondoa malinzi mwenyewe na wale aliowaweka kama yeye alivyomfagia Angetile OsiahHamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.
Tutawaondoa kwa hoja, tukishindwa tutamuondoa malinzi mwenyewe na wale aliowaweka kama yeye alivyomfagia Angetile OsiyaHamuwezi kuwaondoa? Kama hamuwezi tulia mnyolewe. Acha kelele.
Acheni ushabiki, huu Uzi ni wa mwaka 2013, umekaa humu karibu miaka minne. Mgogoro wa simba na kagera ni wa mwaka huu sasa sijui unaingiaje humu. Tatzo la watanzania wengi hatupendi kua wakweli tunapenda kusukumwa na mapenzi au ushabikiUhaya huo mumeuona baada ya kagera sugar kurudishiwa point 3 zao?hivi mungekuwa nyie Simba ndio mumenyang'anywa 3 mungekubali kweli?!
Mungewafunga Kagera sugar uhaya musingeuona!!
TFF ilitoa,TFF imetwaa
Safi sana.Uhaya huo mumeuona baada ya kagera sugar kurudishiwa point 3 zao?hivi mungekuwa nyie Simba ndio mumenyang'anywa 3 mungekubali kweli?!
Mungewafunga Kagera sugar uhaya musingeuona!!
TFF ilitoa,TFF imetwaa
Walibezwa sana Na wanaJF kwamba hawajengi kwaoAmejaza wahaya, hata dili la nyasi bandia lilipotokea akaweka Bukoba!!!!! Kiwanja cha tenisi pia nasikia pia kiko Bukoba.
Yaani kiongozi wa kitaifa lkn kinachotangulia ktk akili yake ni Bukoba kwanza!
Huo uzi umeunganishwa tu...kuna uzi wa juzijuzi tu hapa sema moods wameuunganisha na wa zamani kwasababu maudhui yanafanana!!Elewa basiAcheni ushabiki, huu Uzi ni wa mwaka 2013, umekaa humu karibu miaka minne. Mgogoro wa simba na kagera ni wa mwaka huu sasa sijui unaingiaje humu. Tatzo la watanzania wengi hatupendi kua wakweli tunapenda kusukumwa na mapenzi au ushabiki
Hacha majibu mepesi katika hoja au shutuma nzito kama hizi.Sehemu yyote iliyojaa watu wa kabila moja ni tatizo yatupasa kufanya uchunguzi katika hili na kulaani mambo au tabia kma hizi.Wewe kama si mkabila ulijuwa je acha huwo ujinga kikubwa kazi nyie ndio wale wale hata kwenye siasa ukabila nyambafu tunaongea ukabila karne hii kimya shiiiiiiih