Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda

Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
 
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
 
Maneno yote hayo kwa sababu ya kunyimwa point za mezani. Polisi wangekubaliwa rufaa yao dhidi yenu leo mngelia.
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
 
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Kikubwa alichofanya Malinzi ni nyasi kaitaba
 
Malinzi alipoingia TFF nadhani aliwavuta ndugu zake. Simbaya kwani katika utendaji unahitaji watu watakoenda na kasi yako kiongozi
 
siasa za Uyanga na Usimba ndizo zinazodumaza mpira Tanzania. period!

hizi timu mbili zikikufwa (na ninaomba sana zikufishwe na zioze kabisa!) hakutakuwa na wa kutuchezea Sub-Sahara Africa.
Ni kweli mkuu uyanga na usimba ni tatizo kwenye soka letu, lakini katikati ya shida hiyo ukiongezea ukabila tatizo linakuwa kubwa zaidi. jamaa wajifunze kufanya kazi na makabila mengine
 
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Lakini Dioniz Malinzi ambaye ni kaka yake Jamal na anayemuweka mjini ni SIMBA damu.
 
Amejaza wahaya, hata dili la nyasi bandia lilipotokea akaweka Bukoba!!!!! Kiwanja cha tenisi pia nasikia pia kiko Bukoba.

Yaani kiongozi wa kitaifa lkn kinachotangulia ktk akili yake ni Bukoba kwanza!
 
Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda

Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
Naunga mkono hoja, huu ndo ukweli! Hatutaki kuongelea ukabila ila hamna jinsi maana Malinzi mdo anatulazimisha, hii haiko sawa kama yeye anaona iko sawa!
 
Polisi Dar walikataliwa tuhuma zao kuhusu Lufunga kuwa na kadi nyekundu..mkabebwa mji ukawa kimya...vigezo vile vile vilivyowabeba Simba kwa Lufunga ndio vinapigiwa kelele (rufaa ilichelewa na laki tatu hawakuwa nayo)..Tanzania haina ukabila Raisi Magufuli angemteuwa Mh Majaliwa?
 
Back
Top Bottom