Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

JINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU.

VODACOM M-PESA.
1.Piga *150*00#
2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa.
3. Chagua 4- Ingiza namba (123123)
4. Weka Kumbukumbu Namba (150334)
5. Weka Kiasi.
6. weka namba ya siri.
7. Utapata ujumbe wa uthibitisho.

TIGO PESA.
1. Piga *150*01#
2. Chagua namba 6 (Huduma za kifedha)
3. Chagua namba 5 (Selcom Pay).
4. Ingiza namba ya Malipo (150334).
5. Weka kiasi.
6. Ingiza namba ya siri.
7. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

AIRTEL MONEY.
1. piga *150*60#
2. Chagua namba 5( Fanya Malipo)
3.Chagua namba 2 ( Uchaguzi wa biashara)
4.Chagua namba 3 (Manunuzi)
5. Chagua namba 3 (Selcom)
6. Weka kiasi.
7.Ingiza namba ya malipo (150334)
8.Weka namba ya siri.
9. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

UKIFANYA HIVO UTAKUWA UMEICHANGIA KLABU YAKO, HONGERA SANA MWANANCHI! PIA ITAKUWA VEMA UKITUONESHA UJUMBE WAKO HAPA WA MALIPO. . PIA WAHAMASISHE NA WENGINE KUCHANGIA.
 
Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda

Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
Yaani wahaya kila sehemu wapo ukienda mtaa wa sokota wapo pale temeke sudan wapo pale kigamboni mageti7 wapo na mjini kabisa wapo ukienda jangwani wapo
 
siasa za Uyanga na Usimba ndizo zinazodumaza mpira Tanzania. period!

hizi timu mbili zikikufwa (na ninaomba sana zikufishwe na zioze kabisa!) hakutakuwa na wa kutuchezea Sub-Sahara Africa.
Fikiria laliga bila Baka na Madrid!
 
Kwani mhaya sio mtanzania! Kama wanasifa ya kufanya kazi hizo wacha wafanye... Acha ubaguzi mkuu...
 
Ungeweka idadi ya wafanyakazi wote na idadi ya wahaya ili tuone huo ujazo.

Halafu mkurugenzi wa sheria ni mtu wa Iringa, sio mhaya
 
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Si tunasemaga sku zote kwamba unaanzia kwa vijana, na kweli tunaona timu yetu inavyofanya vizuri, kama tukishirikiana wote kwenye maombi inaweza kurudi na kikombe.

Unasemaje sasa kwamba hajafanya chochote????
 
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
kwamba mmeshinda,matokeo yakabadilishwa.SHAME ON YOU,MIJITU MIZIMA IMEKULA BAO 2-1 ETI LEO MNALALAMIKIA POINT ZA MEZANI.hivi mnatokwa povu kabisa na maujinga ya manara
 
Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda

Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA TU,NI KUA MLIFUNGWA 2-1 NA KAGERA so punguzeni ujinga mwingi nyinyi mnaopelekeshwa na madarasa la7 yalojaa hapo msimbazi
 
Ni kweli mkuu uyanga na usimba ni tatizo kwenye soka letu, lakini katikati ya shida hiyo ukiongezea ukabila tatizo linakuwa kubwa zaidi. jamaa wajifunze kufanya kazi na makabila mengine
Kwahiyo mkuu unashauri kwenye application za kazi pale TFF waweke na kipengele cha ukabila ili wawatambue wahaya mapema wasiwape kazi tena????
 
Ndio wenye sifa na waliojitokeza,
Unakaa kulalamika wala huna sifa , huku hujiamini ,
Wahaya tawaleni kabisa.
 
Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda

Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
mugambireee
 
Back
Top Bottom