Ukabila ktk mapenzi

[/QUOTE]

which tribe have you fallen 4 so far?
You said one of them.....................which is it?[/QUOTE]

The nyakyusa I'm in right now
 
Mi nadhani bado hujafikia wakati wa kutaka kuona yaani kifupi hujakuwa kwani bado unaamuliwa maamuzi yako....pole ila achana na hayo mawazo ya makabila...mi mchaga ndi maana nimekwazika...lol

It's not like that, suala la kuoa ni nyeti uwezi kwenda for ua own side wakati other side wanafeeling tofauti though ni wewe unaeoa, nachotaka for u nikunipa gud direction itakayokuwa gud for me en my family without leaving tha love that I have
 
Hakuna uzushi lizzy, I had one chaga mwenye sir name la swai I used to love her so much at the time nikiwa chuo nikitegemea ela ya bodi bt alichokifanya for me iz wat made me to put the chagaz ktk list yangu ila to be honest nilimpenda before cjampata huyu mnyakyusa

jaribu punguza ujumlisho wa trait huyo alikuwa swai na si mwengine,watu wanamatatizo kila mtu yake kwa wakati wake.get a picture nami nishawahi tfndwa na hao unaowasifia je nami niseme wanyakyusa wanamatatizo !no way akikuwa mwakatobe pekee na si wote.NIAHAYO 2.
 
Kama wamekukataza kuoa makabila hayo basi tafuta mdigo, au mbondei au mzigua, ikikosa huko nenda kwa wazaaramo, wakwere, wayao au wamakua them wapelekee familai yako.
 
mkuu usidanganyike humu duniani hakuna kiumbe asiyependa pesa, mimi mwenye sio miongoni mwa makabila hayo lakini katika swala zima la pesa kaa mbali na mimi, wengi wa wapenda pesa wanajua kuitafuta na wanaiheshimu!
chukua hiyo kitu kama iko inakupenda na wewe unaipenda kisawasawa itakufaa kwa maandeleo ya familia yako.
 
Kabila matters ... Unataka ushauri wa wachaga mtafute pdidy wa jf ana thread lukuki kuhusu wachaga


Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
mkuu ipo hv,anaekupenda kwa dhati weka ndani,ndio bahati yko,usijejuta na kulia,ukabila c 2 hurudisha maendeleo nyuma bali pia ni dalili za udhaifu kwa mwanaume.hela hakuna asiependa na kama ni tabia ya m2 haiwez ikawa ya wote,ukikosea utakuja kuoa mwngne ila hauto2lia kwenye ndoa,trust me
 
Kama wamekukataza kuoa makabila hayo basi tafuta mdigo, au mbondei au mzigua, ikikosa huko nenda kwa wazaaramo, wakwere, wayao au wamakua them wapelekee familai yako.

Umesahau kidogo.Akaoe Wamasai,Wasandawe,Waruguru ,ikishindikana Wagogo
 
Mnyakyusa akikushinda oa Msafwa au Mmalila, Mnyiha, Mkimbu, Mkinga, Muwanji, Mpare, au Mhabeshi. Tabia ya mtu haikai kwenye kabila
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them
 
mkuu ipo hv,anaekupenda kwa dhati weka ndani,ndio bahati yko,usijejuta na kulia,ukabila c 2 hurudisha maendeleo nyuma bali pia ni dalili za udhaifu kwa mwanaume.hela hakuna asiependa na kama ni tabia ya m2 haiwez ikawa ya wote,ukikosea utakuja kuoa mwngne ila hauto2lia kwenye ndoa,trust me

I like it,,
 
Back
Top Bottom