Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
Najaribu kufutila historia , muundo matatizo na mafanikio ya muungano wa UK
sometime unasikia UK .sometime England sometime Britain. . Mara unasikia kuna Scotland na Wales na Northern Ireland.
Kwa uwa nasi Tanzania tuna muungano tata Tujadiliane kuhusu huu wa UK tunaweza kujifunza kitu

- structure ya huu muungano
- unafanyaje kazi
- Future yake ikoje