fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,542
Watu wengi hawa juwi kuwa kitendo cha Iran kudondosha tu ile drone ya US kilionyesha okomavu wa hali ya juu kabisa wa technologies ya Iran kulinganisha na uimara wa technology iliyotumika kuunda drone yenyewe!Uk hana military capability ya kusmama na taifa kama IRAN..
Narudia....
Uingeeza hana uwezo wa kupambana na Iran.
Kitendo cha pili Iran kusema ita teka meli ya UK na kuteka kinadhihirisha Iran ipo tiari kwa lolote ameshaweka mpira kati nani bado anachaguwa goli!!?
!!! Je apo ni nani bado anabweka!??
Kutungua drone baharini na kwenda kuitafuta kwa muda mfupi na kuonesha Dunia kuwa umedungua drone ya anayejiita mbabe wa Dunia ni kitendo cha kuudhi na kushusha Thamani ya technology ya US !!
Ndio kunako pelekea Akina Erdogan na India kuzikimbia F-35! Na zana nyingine za US!