Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Tunatabia ya kufanya generalisation kwenye kila mgogoro duniani without looking at the pretext individually.Umesema:
"Kwanza kuna international laws kama UN charter Article 51 inaruhusu nchi kujikinga against aggressive behaviour kwenye ulinzi na kitendo cha marekani kilikuwa cha kibabe kwa sababu Iran hakuwa kam provoke mtu yeyote."
Hi article mbona hamkuikumbuka wkt US+Nato wakiivamia Libya?
Mmeona Iran ni kina kirefu then mnazuga eti kuna article sijui kitu gani,western hawawezi igusa Iran.
Libya technically aikuvamiwa tayari kulikuwa na kundi la waasi ndani be it dhaifu. Walichofanya mabeberu ni kujenga kesi UN kwamba Ghaddafi anatumia silaha za sumu etc with human right violation kukandamiza haki; katika kutimiza agenda yao.
Walichofanya wao ni kusema watatoa support tu ya vifaa vya kuongeza nguvu waweze kabiliana na jitihada za serikari pamoja kuwasaidia kwenye air strikes. Lakini involvement yao ilikuwa ndogo sana.
Iran mpaka lately hakukuwa na sababu maalum ya kujenga hoja za kumvamia mpaka alipoamua kuishika hiyo meli, kinachomsaidia wazee wa fitna wamebadili serikari na kuna agenda nyingine za kitaifa na swala la Brexit ni muhimu zaidi zikiwa zimebakia less than 100 days. Na hoja za waziri mkuu azieleweki kabisa washaanza kumwita all sorts of names na wengine kutaka kuona general elections haraka, yeye mwenyewe ataki record yakuwa waziri mkuu aliekaa madarakani kwa muda mfupi.
This might actually save Iran maana serikari mpya inabidi ionyeshe ina authority kwenye agenda zake; Iran will remain pending.