Hivi we unadhani safari ya kupeleka askari wa kutosha na vifaa vya kivita kutoka Europe mpaka Gulf region ni kama muda wa kupanda daladala ya ubungo kwenda posta.
Na kwanza lazima wajipange nani anajukumu la kutwanga wapi katika nchi zinazoelekea huko, namna ya ku share information nani ataongoza/ coordinate majeshi ya nchi tofauti etc with liaison and team working. Muhimu ya yote kushawishi raia wao kwanini lazima waende kutia adabu huyo jeuri.
Subiri kwanza siasa za kubadili PM zitulie utaona tu kama hiyo meli itakuwa bado imeshikiliwa nini kitafuata.
Si umeona Iran wenyewe wametoa video kuonyesha wafanyakazi wa meli wapo poa tu na kuishitumu UK kujiingiza kwenye uonevu wa marekani na maneno mengine yasiyo nakiburi kwa kuchunga mdomo wao wasitoe kauli zitakazoongeza hasira za waingereza.
Ata wao Iran wanajua UK ni shetani mwingine kwenye maswala ya fitna.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Pro western mnateseka sana kuhusu swala lakuwaonyesha wa2 waile meli kama wako pw haijawa sababu maana hata 2011 alipo wateka nyara majeshi yamarekani aliwaonesha pia
Nikukumbushe tu juzi wametoa video nyengne wakiwaonesha waingereza kama ile meli isha anza kupeperushwa bendera ya iran
*Nb:Huu Mgogoro Ili Uishe Uk Hana Uwezo Wakumpiga Muiran Atakachofanya Nikurudisha Meli Yawatu Aloiteka Nayeye Apewe Meli Yake
Karata Yaturufu Ambayo Wamagharibi Wameitupa Ambayo Ilikua Ndio pekee Yakuishambulia Iran Ni Kule Kutunguliwa Kwa Ndege Ya US Maana Ule Ulikua Ni Uchokozi Wamoja Kwamoja Na Wameshindwa Maana Yake Hawawezi Pambana na Muiran
Kama Huamini Utaja Nambia Hapa Japo Najua kama Ukweli Unaujua Kama Jamaa Hawawez Mpiga Muiran Ila Ushabiki Mumeuweka Mbele
Iran Walichelewa Kumpiga Alipoteka Ubaloz Na Wanadiplomasia Wa US na Israel Mwaka 1979
Iran hawez pigwa tena labda vizuke vita vya dunia
Ila si US Si UK wala Western Countries Yyte Ambae Atajarbu Kumpiga Iran Kwamiaka Hii 10
Alikuepo Bush Mpenda Vita Zaidi Ya Trump Wakatoka
Magreth Pm Wa UK wakatoka
Jambo la kuipiga iran limebakia kwenye vikwazo 2 ila kwa Direct Kama Iraq na Wengneo Sahau Mkuu