UK to send Nuclear Submarine, Commandos to the Gulf

UK to send Nuclear Submarine, Commandos to the Gulf

UK toka waanze na mambo ya kua na serikari chini ya waziri mkuu, wamefeli Sana..... Enzi za familia ya kifalme ikifanya kila kitu walikua na nguvu Sana
Duuu kumbe, tupe historia kidogo, ni lini? Na ilikuaje hadi kuachana na utawala Wa familia
 
Hawa wazungu wanaakili sana! Wanamtumia muIran kwenye vitisho wakijua wazi vita baina yao ni ngumu Lengo ni kuzikalia nchi za wapuuzi Waarabu kwa Cost zao wenyewe! UK ni mtoto sana kwa Iran kwani hana Manpower wala Asset za kumfanya Iran apoteze usingizi zaidi wasishangae hizo Submarine yao ikazamishwa na hao commandos wao wakatekwa km walivotekekwa US marines au makomandoo wa US
Dah! England mtoto!!!!

Manowari mbili tu ziitosha agentina kwenye mzozo wa visiwa vya fokland.
 
UK mda mwingine hanaga utani anaweza akarusha ngumi kweli hawa jamaa siyo kama America

Japo iran naye siyo wa kimchezo mchezo ila ngoja tuone

Mimi nataman sana vita lika langu hili sijashudia vita kabisa, lakin british mimi nakukubali mzee wa kushawishi

Iran piga konde mwanangu ioneshe dunia kuwa wewe siyo mwarabu na hujalibiwa

British piga huyo ayatollah

Ayatollah set mitambo mpaka malikia aombe poo
Nibora ubakie kuhistoriwa Kuhusu vita
sio vyakuombewa baki na utoto wako huo huo
 
Tatizo ni Trump kutowapiga Iran siku wamedondosha dege letu

Ndo maana huwa nampenda Israel yeye hatanii
 
Duuu kumbe, tupe historia kidogo, ni lini? Na ilikuaje hadi kuachana na utawala Wa familia
Chini ya Familia ya kifalme, walimiki dunia... Just take a look kwa sasa kila siku mawaziri wakuu wanajiuzulu tu kwa changamoto ndogo.
Kama unataka history ngoja niandike kwa kirefu
 
Hawa wazungu wanaakili sana! Wanamtumia muIran kwenye vitisho wakijua wazi vita baina yao ni ngumu Lengo ni kuzikalia nchi za wapuuzi Waarabu kwa Cost zao wenyewe! UK ni mtoto sana kwa Iran kwani hana Manpower wala Asset za kumfanya Iran apoteze usingizi zaidi wasishangae hizo Submarine yao ikazamishwa na hao commandos wao wakatekwa km walivotekekwa US marines au makomandoo wa US
Hivi UMEFIKIRIA nini KUBANJUKA uwongo huu. Kwamba US hana power hana assets?? Naona umechangankiwa. Bajeti ya us inaweza kuwa mara kumi ya ya IRAN. Military statistics za us Ni number moja, Iran wala haupo kwenye kumi bora.
 
Irani walichomwambia UK aachie meli yao waliyoishikilia Giblater kama sijakosea spelling kisha nao wataiachia hiyo tanker
 
ni nuclear powered sio nuclear capable,hata hivyo UK hana fleet ya kutisha,tegemeo lao kubwa ni HMS Duncan ambayo ndo inatarajiwa kuingia persian gulf,hata hivyo iran wameshadeploy manowari zao ghuba kwahiyo sio ishu kivile,hiyo submarine ni kubwa haiwezi ingia gulf hakuna kina kirefu cha kuificha hiyo sub
Sasa kama hiyo nuclear powered sub haiwezi kuingia Persian gulf so imetumwa iende wapii? Au Indian ocean??
 
waziri mkuu mtarajiwa wa UK,amesema leo ili wapambane vyema na iran,inabidi waanze kuunda manowari zaidi,maana yake UK hama manowari za kutosha,anazo chache tu,watu twitter wanamkejeli na kudai sasa hadi akaunde mimeli mgogoro upo tu unamsubiri,na hela itatoka wapi?
Kawajibu kiutu uzima kwamba , vita kati ya U.K na IRAN ni kwamba hakuna vita hapo
 
Lakini wamarekani wa mtongole wanakuambia wanajua siri zote za jeshi la Uk
waziri mkuu mtarajiwa wa UK,amesema leo ili wapambane vyema na iran,inabidi waanze kuunda manowari zaidi,maana yake UK hama manowari za kutosha,anazo chache tu,watu twitter wanamkejeli na kudai sasa hadi akaunde mimeli mgogoro upo tu unamsubiri,na hela itatoka wapi?
 
Hivi UMEFIKIRIA nini KUBANJUKA uwongo huu. Kwamba US hana power hana assets?? Naona umechangankiwa. Bajeti ya us inaweza kuwa mara kumi ya ya IRAN. Military statistics za us Ni number moja, Iran wala haupo kwenye kumi bora.
unaambiwa ni UK sio US. Kuna nchi inaitwa Uk na ingine US.
 
Back
Top Bottom