UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Kwan ww ulishawai kuwapelekea wazungu misaada au ulishawai kuwakopesha. Kama ukishawai bas unahaki ya kuingilia mambo yao

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.

Foreign, Commonwealth & Development Office

Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.

Minister for Africa, James Duddridge said:

Published 1 November 2020
Good advice. A neutral comment with no bias
 
Hao ni USA Allies, nyie wala siyo. Nyie ni wa Communist, mnapigia kura zote China. Umewahi kusikia Egypt, Rwanda, Kenya, Saudi Arabia wanapigia kura China au Urusi? Nyie ni vishoka kama Cuba, Venezuela, Zimbabwe, North Korea, Burundi,Afghannistan, Pakistan, Iran, Sri Lanka, nchi mbaya mbaya tu, mnapigia kura China. China Allies.
Kula West lakini mnapigia kura East. Sasa mnaambiwa muende mkale hukohuko East na kura mpeleke huko. Ndiyo mtapata akili.
China ni Mjamaa mwenzetu hao wa West tambua hata wao wana interest na sisi ,nakukumbusha katiba inatulinda hakuna kitakachotokea nakuambia tena hakuna kitakachotokea.
 
Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
Nyumba iko wapi hiyo
 
Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
Huyu ngosha kwa sifa za kijinga %%% eti kishindo ,wananchi tutajuta pamoja.
 
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.

Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.

Minister for Africa, James Duddridge said:

"As a longstanding supporter of Tanzania, the UK is concerned by widespread allegations of interference in the country’s elections, including pre-filled ballot boxes and party agents being denied entry to polling stations. We are also deeply troubled by the reports of violence and heavy-handed policing in the elections, including the arrest of opposition political leaders.

Tanzania’s future stability and prosperity require a credible democratic process, underpinned by a free media. We join others in calling for a transparent investigation by the electoral authorities into reported irregularities, and for all involved, including the security forces, to act with restraint to ensure the peaceful resolution of tensions."

Source: UK statement following the Presidential Elections in Tanzania
 
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.

Foreign, Commonwealth & Development Office

Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.

Minister for Africa, James Duddridge said:

Published 1 November 2020
Mataga na Meko ki inglishi waga hakipandi kabisa ngoja tuwasaidie...
Screenshot_20201102-110334.jpg
Screenshot_20201102-110403.jpg
 
Kuna watu walinunua viwanja milioni 30 wameshindwa kujenga. Wakitaka kuviuza bei inachezea milioni 8. Nadhani mwakani bei itachezea milioni 1. Huyu jiwe Mungu anamuona.
Ni hatari kabisa. Yaani mwenye pesa sasa ndiyo wakati wakununua mijumba na mashamba/viwanja kwa bei ya kutupwa. Watu wanadaiwa bank na wengine mitaji imekata wanataka wabadili fursa mitaji hawana na bank hawakopesheki hivyo Njia pekee ni kuu za assets nazo hazinunuliki.
 
Nimeshindwa kuchangia chochote hii lugha mie huwa naona madudu tu
Wamesema hivi!

Kama msaidizi wa muda mrefu wa Tanzania, Uingereza ina wasiwasi na madai mengi ya kuingiliwa katika uchaguzi wa nchi hiyo, pamoja na masanduku ya kura yaliyojazwa mapema na mawakala wa chama kukataliwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura. Tunasikitishwa sana na ripoti za vurugu na polisi wazito katika uchaguzi, pamoja na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa wa upinzani.

Utulivu na ustawi wa siku za usoni wa Tanzania unahitaji mchakato wa kuaminika wa kidemokrasia, unaoungwa mkono na vyombo vya habari huru. Tunaungana na wengine kutaka uchunguzi wa uwazi na mamlaka ya uchaguzi juu ya makosa yaliyoripotiwa, na kwa wote wanaohusika, pamoja na vikosi vya usalama, kuchukua hatua kwa vizuizi kuhakikisha utatuzi wa amani wa mzozo.
 
Wameshaandamana au manenomaneno tu. Viongozi wa hivyo vyama wawe mstari wa mbele kabisa ili wajeuke majivu haraka. Mnachovya moto wa petrol na kidole gumba.
 
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.

Foreign, Commonwealth & Development Office

Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.

Minister for Africa, James Duddridge said:

Published 1 November 2020
Mwaka huu mpaka Quinene itageuka panadol, kusanya statement za mabeberu wooote, sisi hatuyumbishwi. Mbona hawatoi statement ya kukemea maandamano?
 
Back
Top Bottom