Pilipili kali
Member
- Nov 22, 2017
- 65
- 38
Kwa anae hitaji ufundi wa simu anione soon class itaanza smartphone na zile za Batan ppt ulipo class itakufika na ufundi wa simu una pande mbili hardware na software
Hardware ni repair ya divice yenyewe simu haiwaki imeingia maji, kubadilisha kioo, kutoa IC nakujua njia za kujua ttz ktk simu matumizi ya digital multimeter kujua kupima vitu ndani ya simu husika n.k na mengine mengi tu
Software ni kutatua mttz mbali mbali yanayojitokeza ktk simu kwa mfumo wa software, kuondoa virus ktk simu, kutoa lock simu na mengine mengi tu ila ktk software itahitajika lazima uwe na computer.
Class inaanza Baada ya mshiriki kutafuta vifaa vyote tulivyomuagiza awe navyo ili tuende pamoja,,,,,,,
Unaweza kuuliza swali