Ujumbe wangu wa wadada leo jumapili!

Ujumbe wangu wa wadada leo jumapili!

Bora umestuka!

mkuu, inasemekana asilimia kubwa ya wanawake wanaendeshwa na 'emotions'. Wamesikia ujumbe wako na kupata msisimko ila msisimko huo Mara nyingi haudumu kwa mda mrefu, wanasahau na kuendelea na tabia zao za zamani. Sasa subiri tuone tian ataweka msimamo hadi lini.
 
Last edited by a moderator:

Uzuri mie najijua mwenyewe,

Ukizingatia mbadala upo,Aaaahhh

Maisha Mbona Yanaenda Vyemaa,

Wasichana ndo wakurubuniwa,am past that age
 
..wa kukurubuni wala hayupo, it's just that you have to give it a shot. Huo m'badala Una mwisho wake mtani.
 
Mmmmmmmh! Kuna watu wanazaa kwenye NDOA na mume IRRESPONSIBLE vile vile,. Zaa kwa jeuri yako si ya mtu yeyote hata mume.

Haya mambo 6anategemea ntu na ntu. Wengine anzaa na mume wa mtu na anakuwa VERY RESPONSIBLE hata kama wakwake mmoja una mwingine sio wake, anawasomesha wote mashule ya $$$$$$$$ wala haesabu, ila ndo WACHACHE. Mwingine irresponsible ila familia wanajiweza wanakwambia ukachukue matumizi. Kuna shosti wangu anapewa na baba mkwe wake 1.5m za kumlea mjukuu kila mwezi, wala hafanyi kazi njaa toka amalize shule. Na ada kaambiwa asiwaze baba mkwe atacover kuanzia kutafuta shule yeye. Kabla hujazaa na mtu unaangalia kwanza kwao neema za Mungu zipo zipo au majanga?

Unakuta uko na mtu BAHILI hakujali wewe, mia yake huioni afu utegemee ukizaa ndo atakuhudumia? Utakuwa chizi karogwa tena. Au labda ukampulizie ayoe matumizi against his will. Au ndo uka block mshahara ustawi wa jamii.

Na hicho ndio kimsingi anachotahadharisha Eiyer, hatoi guarantee ila kama unaamua kujiingiza kwenye mahusiano, usjifikirie kila mwanaume ana lengo sawa na lako, hasa linapokuja suala la ujauzito na kupelekea watoto.

Ndio maana anawaonya wapime mambo yote hayo kisha waone kama wapo tayari kwa hizo changamoto ulizoziongezea hapo kisha wafanye maamuzi wakiwa wanajua madhara au matokeo ya maamuzi yao.
 
Mmmhhh
Hili nalo neno mwenzangu
Haya mambo ni kumuomba Mungu tu
 
No,ipo hivi,wanawake mnaonaga mimba ndio kama silaha ya kumlazimisha mwanaume akuoe,hapo ndio hua mnakosea,mm nina mpenzi wangu,nimemtoa mbali,nafanya kazi na yeye hana kazi ila nilifunguaga biashara anasimamia na tunaishi pamoja kwa sasa,kila siku nilikua namuambia,nahitaji tupate mtoto mwaka 2015 so awe makini ktk kucheki siku zake,lakini cha kushangaza,mwaka jana alipata ujauzito,nikamuambia vip?ooh hivi ooh vile,basi tunasonga nayo,ila kiukweli sikupanga iwe hivi na naona alinichomekea kama kuforce nimuoe,huu ndio ukweli wadada hamjielewi,mimba mnaonaga ndio kama tiketi ya kuolewa.
 
Inawezekana huo uandishi mnaandikiana huko mitaani kwenu

Kama mnaandikiana huko bora mkaishia huko

Unaweza kuniambia ni kitu gani kinakufanya usiandike neno kama lilivyo hadi ulifupishe kijinga namna hiyo?

kwani tatizo liko wapi mkuu??tungekuwa kwenye mashindano ya lugha fasaha sawa..,ili mradi mtu kaandika ukasoma ukamuelewa,we take so many things seriously...na JF nako spelling checks pia uuuh???,a lil break pls...relaxxx..mana sio mara ya kwanza nmekuona unammind mtu coz of lugha ,me inclusive...
 
No,ipo hivi,wanawake mnaonaga mimba ndio kama silaha ya kumlazimisha mwanaume akuoe,hapo ndio hua mnakosea,mm nina mpenzi wangu,nimemtoa mbali,nafanya kazi na yeye hana kazi ila nilifunguaga biashara anasimamia na tunaishi pamoja kwa sasa,kila siku nilikua namuambia,nahitaji tupate mtoto mwaka 2015 so awe makini ktk kucheki siku zake,lakini cha kushangaza,mwaka jana alipata ujauzito,nikamuambia vip?ooh hivi ooh vile,basi tunasonga nayo,ila kiukweli sikupanga iwe hivi na naona alinichomekea kama kuforce nimuoe,huu ndio ukweli wadada hamjielewi,mimba mnaonaga ndio kama tiketi ya kuolewa.

hivi kalenda method ikizingua lawama zote kwa mwanamke,mhh kazi ipo,as if sperm tunatengeneza
 
Nakumbuka Mama yangu(R.I.P) aliwahi kusema siku moja wakati tunawaaga madogo kwenda boarding kuwa "hao wasichana mtakaokutana nao huko shuleni sio wapenzi wenu wa kweli na wala hawatakuwa wenu......wao wana wenzao wanawasubiri na nyie wenu watakuja mkishakuwa wakubwa tena pengine badowako primary bado"....

Watu wanadanganyana sana shuleni na hasa vyuoni....nadhani ni mambo ya Infatuation pia
 
Ushauri mzuri haya walengwa kazi kwenu manake nyumbani wamesema na JF nako wamesema sasa hakuna wa kumlaumu.
 
mkuu, inasemekana asilimia kubwa ya wanawake wanaendeshwa na 'emotions'. Wamesikia ujumbe wako na kupata msisimko ila msisimko huo Mara nyingi haudumu kwa mda mrefu, wanasahau na kuendelea na tabia zao za zamani. Sasa subiri tuone tian ataweka msimamo hadi lini.

Daaahh!!!!!!
Mkuu hii nayo ni kali

Ngoja tuone
If anything change please ninong'oneze mkuu!
 
kwani tatizo liko wapi mkuu??tungekuwa kwenye mashindano ya lugha fasaha sawa..,ili mradi mtu kaandika ukasoma ukamuelewa,we take so many things seriously...na JF nako spelling checks pia uuuh???,a lil break pls...relaxxx..mana sio mara ya kwanza nmekuona unammind mtu coz of lugha ,me inclusive...

Kwanza sikushangai wewe kuniona nimekosea kumkosoa huyo mwenzako kwakuwa mnafanana

Halafu inawezekana hata hujui umuhimu wa kuitunza na kuiheshimu lugha yako

Lakini kikubwa zaidi huenda hujui umuhimu wa kuandika kiswahili fasaha hapa mtandaoni

Sio kosa lako

Suala la mimi kujali kuhusu lugha ni muhimu sana,ila kwako wewe usiejua ni kama kupoteza muda!
 
No,ipo hivi,wanawake mnaonaga mimba ndio kama silaha ya kumlazimisha mwanaume akuoe,hapo ndio hua mnakosea,mm nina mpenzi wangu,nimemtoa mbali,nafanya kazi na yeye hana kazi ila nilifunguaga biashara anasimamia na tunaishi pamoja kwa sasa,kila siku nilikua namuambia,nahitaji tupate mtoto mwaka 2015 so awe makini ktk kucheki siku zake,lakini cha kushangaza,mwaka jana alipata ujauzito,nikamuambia vip?ooh hivi ooh vile,basi tunasonga nayo,ila kiukweli sikupanga iwe hivi na naona alinichomekea kama kuforce nimuoe,huu ndio ukweli wadada hamjielewi,mimba mnaonaga ndio kama tiketi ya kuolewa.

Huo ni mfano mmoja tu wa kuonesha ulichokisema kama ni kweli vile
Lakini nikuambie kuwa inawezekana wapo ambao wanafanya hivyo lakini hii sio mada yake

Nilichotaka ukijue hapa na ndicho ukichangie ni mwanaume kuwapachika mimba na kuwaacha wasichana na wanawake
Mtu unakuta ni kweli ni bahati mbaya amechanganya tarehe na kupata ujauzito,anakuambia na huo ndio unakuwa mwisho wa uhusiano wenu

Hii ni mbaya sana!
 
Na hicho ndio kimsingi anachotahadharisha Eiyer, hatoi guarantee ila kama unaamua kujiingiza kwenye mahusiano, usjifikirie kila mwanaume ana lengo sawa na lako, hasa linapokuja suala la ujauzito na kupelekea watoto.

Ndio maana anawaonya wapime mambo yote hayo kisha waone kama wapo tayari kwa hizo changamoto ulizoziongezea hapo kisha wafanye maamuzi wakiwa wanajua madhara au matokeo ya maamuzi yao.

Mkuu nashukuru sana kwa nyongeza yako nzuri sana

Ubarikiwe sana ndugu yangu!
 
Nakumbuka Mama yangu(R.I.P) aliwahi kusema siku moja wakati tunawaaga madogo kwenda boarding kuwa "hao wasichana mtakaokutana nao huko shuleni sio wapenzi wenu wa kweli na wala hawatakuwa wenu......wao wana wenzao wanawasubiri na nyie wenu watakuja mkishakuwa wakubwa tena pengine badowako primary bado"....

Watu wanadanganyana sana shuleni na hasa vyuoni....nadhani ni mambo ya Infatuation pia

Mkuu nimeisoma signature yako na nimejifunza kitu

Ubarikiwe ndugu!
 
Ushauri mzuri haya walengwa kazi kwenu manake nyumbani wamesema na JF nako wamesema sasa hakuna wa kumlaumu.

Ni kweli maana jambo likishatokea huwa tunatafuta wa kumlaumu badala ya kuwajibika na matokeo ya kilichofanyika!
 
Huo ni mfano mmoja tu wa kuonesha ulichokisema kama ni kweli vile
Lakini nikuambie kuwa inawezekana wapo ambao wanafanya hivyo lakini hii sio mada yake

Nilichotaka ukijue hapa na ndicho ukichangie ni mwanaume kuwapachika mimba na kuwaacha wasichana na wanawake
Mtu unakuta ni kweli ni bahati mbaya amechanganya tarehe na kupata ujauzito,anakuambia na huo ndio unakuwa mwisho wa uhusiano wenu

Hii ni mbaya sana!

sorry

nilitaka kusema tu kwamba,they have to careful,wasiwe na mawazo kwamba,akibeba mimba ndio guarantee ya kuolewa,na wawe wanachukua tahadhari kwa sababu wao ndio conceivers,saa nyingine mwanaume hua anakimbia kwa sababu yawezekana maisha ndio anayaanza,na ukweli ni kwamba,ukishampa ujauzito msichana wako,ina maana ni tayari mmeunganisha familia,kinachofuata ni taratibu za kuhalalisha,sasa nadhani wadau mnajua namna familia zetu za kibongo maisha yalivyo na mambo ya mahali yanavyozinguaga,cha msingi tujielewe tu,protection has to start from women ili asipate ujauzito kabla ya muda au makubaliano kati yake na mpenzi wake,ww unaona kabisa uchumi wa mwenzio mbovu,mnafanya kavu siku za hatari,ni mbaya sana,kudhihirisha kua uzembe upo,condom hua anavaa mwanaume tu,ni nadra mwanamke kuvaa condom,ni mawazo yangu lakini na ninawasihi vijana kutowaacha solemba wapenzi katika situation hizi.
 
Noted mkuu!!!!!!
 
Back
Top Bottom