Ujumbe wangu wa wadada leo jumapili!

Ujumbe wangu wa wadada leo jumapili!

Ha ha ha unataka haki sawa Leo paroko ametoa letu tu akina Dada. Next tyme atawapa lenu
Ila najiuliza kwanini nyie mnatelekeza mabint pind akisema ana ujauzito?

Za nguchiro changanya na zako!!!!!!
 
Aisee wewe,huu uandishi hauhitajiki hapa

Hebu tafuta mahali pengine pa kuupeleka!

Thanx, lakini sikua naandika kitu ambacho ni formal saana mpka nifate taratibu za uandishi.
 
Thanx, lakini sikua naandika kitu ambacho ni formal saana mpka nifate taratibu za uandishi.

Kama unataka unapotoa mchango hapa uonekane ni wa mtu ambae ni mature sikiliza ninachokuambia

Kama unataka mchango wako hapa uonekane ni wa kavulana ambako kameijua JF kimakosa tu na bado kananuka maziwa ya mama yake usinisikilize!
 
Ndo maana nkatanguliza shukrani au sio?Nmekupata ntajitahidi.
 
I will print this for my house girl, utamfaa Sana mana
 
Nashauri kinadada watumie condom,..mana hii mambo ya kiutu uzima wengi wakishaanza hawaachi
 
unacomplicate mambo jmn,khah..

Inawezekana huo uandishi mnaandikiana huko mitaani kwenu

Kama mnaandikiana huko bora mkaishia huko

Unaweza kuniambia ni kitu gani kinakufanya usiandike neno kama lilivyo hadi ulifupishe kijinga namna hiyo?
 
Mi nshapita uschana so am a woman.

Unajua ni kwanini unaweza kuwa na umeri mkubwa lakini bado ukawa ni msichana?

Ni kwasababu unaweza kuwa na miaka 34 halafu mambo unayofanya ni ya kama kabinti ka miaka 17

Mfano ulichokifanya hapa kwa maana ya uandishi uliouweka hapo mwanzo

Hakuna mwanamke atakaeandika kama wewe
Ni msichana pekee ndio ataandika kama ulivyoandika

Ndio maana nakuambia wewe sio mwanamke ni msichana kutokana na ulichokifanya!
 
Aya bwana. Itakua bado nnakauschana.
 
..haya maneno ya Eiyer yasisababishe ukaahirisha kale kampango ketu mtani...plzzzz!!

sikitika.jpeg
 
Back
Top Bottom