Kwanza sikushangai wewe kuniona nimekosea kumkosoa huyo mwenzako kwakuwa mnafanana
Halafu inawezekana hata hujui umuhimu wa kuitunza na kuiheshimu lugha yako
Lakini kikubwa zaidi huenda hujui umuhimu wa kuandika kiswahili fasaha hapa mtandaoni
Sio kosa lako
Suala la mimi kujali kuhusu lugha ni muhimu sana,ila kwako wewe usiejua ni kama kupoteza muda!
Ahsante kiongoziMkuu nimeisoma signature yako na nimejifunza kitu
Ubarikiwe ndugu!
Zingatia hili kama sala yako ya kila ukitaka kulala na kuamka
Epuka sana hii kitu!