Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Kwa hilo wao wanaona halitawafika kwa sababu wamejiamini na pesa wanazo isipokuwa ni sisi tu wavimba macho ndo hutufika sana
Mkuu kwa upande wako wee acha tu na isipokuwa ni mungu ndo ajuae ni siku na saa na dakika na sekunde ya kumchukuwa kiumbe wake basi ndo hilo na mungu atujalei maisha mazuri na atuwondelee mikosi yote