Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,058
- 16,927
Hello jamiiforum
Moja ya siku nzuri na yenye kupendeza ikiwa ni kumbukumbu ya kufufuka Kwa Yesu Kristo wa mbari ya Daudi.
Hakika ni moja ya sikukuu bora kabisa Kwa siku ya leo.
Ndugu zangu haswa wadogo zangu nawasihi na kuwakumbusha kuhusu NDOA.ndoa ni Jambo la hiyari ambalo wawili mkikubaliana Kwa dhati Mungu huwabariki.
Nawasihi oeni ili mtengeneze familia na mwisho mzuri wa maisha yenu.
Kwa umri wa miaka 25 to 40 mtu anaweza asione umuhimu wa ndoa,kwani bado anazo nguvu za kujiamulia mambo yake,lakini kuanzia 40 to 55 haswa kama huna Mali na uwezo kimaisha ndipo utalia na kujuta utatamani asogee mwanamke au mwanaume yeyote lakini utakuwa umeshachelewa.
Ukizeeka
Hutakuwa na energy kubwa kama uliyokuwa nayo leo
Hutokuwa na uwezo wa kuamua vitu bila kushirikisha mtu.
Na kama huna watoto waliozaliwa ndani ya ndoa,hesabu huna watoto kwanini,Mali zako hazitakuwa na usimamizi Bora badala yake.
Kila mtu atataka kuwahi kumiliki kitu fulani hapa ndipo utakapokosa msaada na kujuta.
Nawatakieni pasaka njema sherekeeni na punguzeni ulevi.
Kuna ajali zinaepukika,
Kuna kesi zinaepukika,
Kuna magonjwa yanaepukika
Lakini pesa yako itakuwa salama zaidi