Elections 2010 Ujumbe wangu wa leo kuamkia kumsimika dr slaa ikulu

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
Mkuu kesho ni upigaji kura jamani kwa maendeleo ya Taifa kwa miaka mitano,kura yako ni mhimu sana kufanya mabadiliko ya Tanzania yetu yenye malengo mazuri na wananchi wake, CHAGUA CHADEMA kwa kupata maendeleo hayo, Mkuu sorry kama kura yako itaenda CCM kwa fisadi Kikwete na Familia yake...CHAGUA DR SLAA for change...WE NEED SLAA 2010 - 2015...
 
Back
Top Bottom