Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Asante Rafiki wako anaweza kuwa ndie aduwi yako au rafiki yako mkweli.Yaani mistari imekaa vyema....na ujumbe mzuri sana...
utauza albamu hiyo na kupata pesa hongera jaribu utafanikiwa mimi ninakwambia hivyo.Mkuu haya mashairi nitayapa sauti na kuyaimba kwenye bongo fleva.
Nalog off
ukisha baki Mzimu utakuwa unamlinda mkeo asiolewe na Mtu Mwengine nini?Mimi nikifa nitabaki kuwa mzimu for a while,ole wake swahiba anigusie wife(kama nitatangulia mimi)
ukisha baki Mzimu utakuwa unamlinda mkeo asiolewe na Mtu Mwengine nini?
Nkija mimi kumpoa kwa huo umri wa miak 94 je utakubali aolewe na Dr.MziziMkavu? Je wewe una umri wa miaka mingapi?Aolewe na mtu mwingine,sio rafiki aliywahi kumwita shemeji! Kwanza namwomba Mungu anijaalie miaka 98 na tofauti yangu ya umri na wife ni miaka minne,nikifa aged 98 ina maana wife atakuwa 94 nione huyo atakayekuja kumposa ataanzia wapi!
Nkija mimi kumpoa kwa huo umri wa miak 94 je utakubali aolewe na Dr.MziziMkavu? Je wewe una umri wa miaka mingapi?
nashukuru kiongozi kwa kuupa nguvu moyo wangu.utauza albamu hiyo na kupata pesa hongera jaribu utafanikiwa mimi ninakwambia hivyo.
Mkuu haya mashairi nitayapa sauti na kuyaimba kwenye bongo fleva.
Nalog off
Umezungumza point asante sana.Hahahahahha ikitoka sokoni usimsahau MziziMkavu kugawana mapato lol..
nimewahi kufika mjini ila kapu la hela nimeliacha nyumbani itanibidi nirudi tu.Usijali Washawasha anajifanya kawahi kufika mjini lol...
dah! umeshaniharibia teyari mimi nilitaka kula peke yangu.Hahahahahha ikitoka sokoni usimsahau MziziMkavu kugawana mapato lol..
dah! umeshaniharibia teyari mimi nilitaka kula peke yangu.
Nalog off