Ujumbe wangu wa leo jamani

Ujumbe wangu wa leo jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1456735_397165383719288_470159771_n.jpg
 
ukisha baki Mzimu utakuwa unamlinda mkeo asiolewe na Mtu Mwengine nini?

Aolewe na mtu mwingine,sio rafiki aliywahi kumwita shemeji! Kwanza namwomba Mungu anijaalie miaka 98 na tofauti yangu ya umri na wife ni miaka minne,nikifa aged 98 ina maana wife atakuwa 94 nione huyo atakayekuja kumposa ataanzia wapi!
 



Mkuu ni kweli ila kwa bahati mbaya huu ujumbe watakaosoma ni wachache sana kwani watanzania si wapenzi wa kusoma. Hapa ikiwezekana tia hii chorus kwenye bongo fleva upeleke Clouds radio ndipo ujumbe wako utafikishwa vizuri. Usife moyo hata kama huna sauti, pale Clouds radio kuna wataalam wa masauti, watakusaidia tu.
 
Aolewe na mtu mwingine,sio rafiki aliywahi kumwita shemeji! Kwanza namwomba Mungu anijaalie miaka 98 na tofauti yangu ya umri na wife ni miaka minne,nikifa aged 98 ina maana wife atakuwa 94 nione huyo atakayekuja kumposa ataanzia wapi!
Nkija mimi kumpoa kwa huo umri wa miak 94 je utakubali aolewe na Dr.MziziMkavu? Je wewe una umri wa miaka mingapi?
 
Nkija mimi kumpoa kwa huo umri wa miak 94 je utakubali aolewe na Dr.MziziMkavu? Je wewe una umri wa miaka mingapi?

Nilizaliwa mwaka ambao senene waliadimika lakini panzi aina ya nzige wakaharibu mazao kwakweli! Jumlisha na kazi ngumu na maisha ya kijijini nina umri wa kutosha kuwa mshenga wa kumposea kijana wa early 30 mke!
 
Ujumbe ni unaukweli huu MziziMkavu, Marafiki si wote wanaurafiki toka ndani ya mioyo yao,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom