Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Sı unajuwa sisi watu wa pwani hatuishi vituko......................... KikulachoChakoMkuu umeamia kwenye mipasho....
Mzizi eehh, kuna jamaa kaparura ile nyuzi yako ya majini! Nimemwambia hajafanya kitu! Nikamwambia arejee ile nyuzi yako ya hawa mashetani wetu kwa kuwa naamini hata wewe una mashetani sana aisee! Hebu icheki umpe somo la hawa masheitwani wetu kamanda