Ujumbe wangu wa leo hii Asubuhi.

Ujumbe wangu wa leo hii Asubuhi.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Ndugu zangu wa-danganyika musiuwe ndugu zetu walemavu wa ngozi (Albino) tafadhalini.

attachment.php
 

Attachments

  • Ujumbe wa leo asubuhi.jpg
    Ujumbe wa leo asubuhi.jpg
    49.7 KB · Views: 886
Adhabu ya wauaji ingekuwa kunyongwa tu..
Inasikitisha sana kuwaona binadamu wenzetu wanaishi kama swala maisha ya hofu na mashaka... Jaman kwann tuwafanyie hivi binadamu wenzetu? Inauma sana.
 
ukisema hamna mungu, wauwaji kama hawa wataadhibiwa wapi? allah awalipe kutokana na natendo yao
 
Ipo siku hizi damu za hawa watu zitakuja kutugarimu,siku zote damu isyo na hatia inapomwagwa huwa haiachi kulia kisasi, ole wetu sisi watanzania tuliopo leo kwani tuna watoto wetu laana ya ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom