Serikali yetu kutokuwa na pesa ni hali ya kawaida. Wabonge (wabunge) mshahara wao milioni 11,marupurupu kibao, wakurugenzi na wakubwa wengine wanahudumiwa na magari manne moja kwa mkuu hilo analitumia kwenda popote including kwenda kunywa bar, lingine kwa mama watoto, kupeleka watoto shule, mamsapo kwenda saluni na kusomba majani ya ng'ombe gari jingine kwa nyumba ndogo. Magari yote hayo yanajazwa petrol kwa hela ya kodi including maintenance ya hayo magari. Udokozi, wizi na ufisadi ni kawaida tu katika ofisi za serikali unategemea serikali itakuwaje na pesa?