Kwako kama mwanamke NAKAZIA nimarufuku kuwasiliana na Ex wako , kwasababu nirahis ngamia Kupenya tundu lasindano lkn ngumu kwa mwanamke kumkatalia Ex wake wasikumbushane tena wanayewasiliana kila siku.
Hapa ndipo ilipoibukia Hoja ya Mama mwenye mtoto kuolewa upya , Ni mwenye akili+hekima+nidhamu+asopenda anasa+hofu ya Mungu =ndie atakaye mlinda mume wake mpya.
Kinyume nahapo atakuwapo Baba mzazi na Baba mlezi nawote mnahudumiwa vzuri.
Hahaa, pamoja mkuu..[emoji3] [emoji3] Mkuu we acha tu kazi ile naipenda ila presha zake tu ndo huwa zinanichosha.Anyway tutaongea tukienda kule kwetu
haya nendawewe bwana beb, sasa shida nn usiruhusu eti
Yes nikitu kibaya sana ambacho huwa nawashauri watu, Mara mia uendelee kujikita na Mpya ,kuliko kukumbushia na alopita.Hahaa hiyo para ya mwisho imeniacha hoi
Halaf kitendo cha kukumbushiana sjui na ex najiona nimejishusha thaman sana yan najiona naked mbele za watu japo nimejisitir
Hiki kitu Mungu aniepushie milele
mtazamo wa mtu uheshimiwe...nimeheshimu mkuu hatuwezi kufanana kwa kila kituNi nini nisicho kijua? Ukitaka usi umie fata nilicho andika apo
Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.
Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila aitakaye furaha huipata wakati sahihi?
Wakati mwengine binaadam tunahitaji kupata faraja.
Hakuna kitu kizuri kama unapogundua umpendae, familia marafiki woote wapo nyuma yako kukupongeza ama kukusapoti kwa kile ufanyacho.
Sikatai katika Mapenzi kuna wasaliti, wezi, waongo na wengine woote wenye kusababisha maumivu.
Ila tambua kati ya Makundi mawili kati ya Wanaume na Wanawake amini kuwa wapo wenye Mapenzi ya kweli.
Japo kumpata mwenye Mapenzi ya dhati ni ngumu ila tafuta unachokiamini na Mungu atakupa kwa Imani yako.
Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.
Kila siku unaanzisha Mahusiano mapya ukiulizwa kwanini Mmeachana lawama zoote kwa waliokuacha kuwa wana tabia mbaya na unakiri ulikosea kuwa nao.
Jitazame kwa jicho la Tatu labda kuna sehemu unakosea na bado ujajua.
Japo alikuacha au ulimuacha kwa makosa yake ila na Wewe jitathimini amini kuwa ujakamilika.
Tumia angalau dakika tano kwa kila siku kujitathimi ni wapi ulipokosea kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako, inawezekana wewe ukawa chanzo cha yeye kubadilika.
Hakuna alieweza kuisimamia vyema misingi imara na kanuni za kimahusiano, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa sababu ya mabadiliko hayo bila kujijua.
Kabla ya kulalamika kwa watu ni afadhali ujitathimi, kisha utafute namna ya kujadiliana na mwenza wako, ili upate taswira ya muelekeo wako.
Alamsiq.
Nashukuru ila uzuri hakuna binti niliyeachana nae kwa kugombana almost wote wamebaki kuwa marafiki zangu na tunawasiliana sana na wao ndio hunitafuta coz nilishawaambia siwezi kuwatafuta mm coz sitaki kuwasababishia mikwaruzano isiyo ya lazima ktk ndoa zao.nimependa hiyo falsafa yako mkuu, wanaume wachache wenye kujali furaha ya mkewe,
Uskate tamaa,zidisha ibada Mungu atakujibia tu utapata wa kufanana nawe,tabaki story
Asante kwa somo..!Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.
Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila aitakaye furaha huipata wakati sahihi?
Wakati mwengine binaadam tunahitaji kupata faraja.
Hakuna kitu kizuri kama unapogundua umpendae, familia marafiki woote wapo nyuma yako kukupongeza ama kukusapoti kwa kile ufanyacho.
Sikatai katika Mapenzi kuna wasaliti, wezi, waongo na wengine woote wenye kusababisha maumivu.
Ila tambua kati ya Makundi mawili kati ya Wanaume na Wanawake amini kuwa wapo wenye Mapenzi ya kweli.
Japo kumpata mwenye Mapenzi ya dhati ni ngumu ila tafuta unachokiamini na Mungu atakupa kwa Imani yako.
Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.
Kila siku unaanzisha Mahusiano mapya ukiulizwa kwanini Mmeachana lawama zoote kwa waliokuacha kuwa wana tabia mbaya na unakiri ulikosea kuwa nao.
Jitazame kwa jicho la Tatu labda kuna sehemu unakosea na bado ujajua.
Japo alikuacha au ulimuacha kwa makosa yake ila na Wewe jitathimini amini kuwa ujakamilika.
Tumia angalau dakika tano kwa kila siku kujitathimi ni wapi ulipokosea kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako, inawezekana wewe ukawa chanzo cha yeye kubadilika.
Hakuna alieweza kuisimamia vyema misingi imara na kanuni za kimahusiano, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa sababu ya mabadiliko hayo bila kujijua.
Kabla ya kulalamika kwa watu ni afadhali ujitathimi, kisha utafute namna ya kujadiliana na mwenza wako, ili upate taswira ya muelekeo wako.
Alamsiq.
Madam wewe umeyamudu au ni kama mimi..mhaha jaman sjafikwa na lolote baya wala ni ushaur tu nimejisikia hivo kushare nanyi haimanishi yamenifika
Nikiangalia nyota ya Daby na bbade zinaendana, upendo wenu utazaliwa pande za ufukwe wa beach siku ya weekend.
Hii dawa itasaidia akupende swagga zako tu na wala sio pesa; hata ukisema umpe pesa utamsikia shem akisema "baby mimi nakupenda wewe na sio pesa zako"nimekufa nimeoza, sina mwengine zaidi yako
Ndio. Nimeshaijaribu na ikanifaaWewe umeshaijaribu ikakufaa?
Ndio. Nimeshaijaribu na ikanifaa
Una deni langu ujueWewe umeshaijaribu ikakufaa?
Sasa jisalimishe wewe mwenyewe kwa Daby au nichukue hatua??[emoji32][emoji32][emoji32]
lets play honey at our own riskplay at your own risk sio?
Mungu kwanza mengine baadae
mh kwema lakini??sina chura mm
Una deni langu ujue