Aisee, Siwalaumu wanao jinyonga.. Hali ninayo ipitia kwa sasa ni Mungu tu anajua. Yaan kumbukumbu zooote za good moments zinakuja. Mbaya zaid kuna picha Zake kibao Nimesave kwenye Drive, natamani nianze kuzidelete. Ni almost Mwezi sasa tangu aniache. Kuna kipind unataman uchukue simu uombe msamaha muendelee ila unakumbuka kuwa hujamkosea chochote,, 😢si kila mahusiano yameandikwa yaishie kwenye ndoa mengine yapo kukufunza aina ya watu utakaokutana nao kwenye safari yako ya kimahusiano
Tena huyo amekua muwazi mpaka raha mana hajataka kukuzungusha kukupotezea muda zaidi
Wewe umetamkiwa live kuna mtu hata ile kuambiwa hajaambiwa japo matendo huonesha hapa sipo na bado mtu anajifariji anakuja shtuka ts too late
Usiumie, sio wa kwanza wala sio wa mwisho maadam u hai riziki yako i njiani yaja kua na imani na mvumilivu,muda utakujibu sahihi
Basi hapo umekosa vigezosasa huko kote ya nn me nataka nije na bebe tu
ahahaha kishaingia mchanga mkuu hakiliki tena 😎Kivipi mkuu[emoji23][emoji23]
Mali yako nn, kitumbua kinaingia mchanga
uje tu hapa tulale darling kama ndo ivo
tuseme asante sanaBasi hapo umekosa vigezo
Madam S: supermarket mambohahahahiyo siitaki mimi sitaki dawa yoyote ile
Aisee, Siwalaumu wanao jinyonga.. Hali ninayo ipitia kwa sasa ni Mungu tu anajua. Yaan kumbukumbu zooote za good moments zinakuja. Mbaya zaid kuna picha Zake kibao Nimesave kwenye Drive, natamani nianze kuzidelete. Ni almost Mwezi sasa tangu aniache. Kuna kipind unataman uchukue simu uombe msamaha muendelee ila unakumbuka kuwa hujamkosea chochote,, 😢
pole sana mkuu naelewa unavyojisikiaAisee, Siwalaumu wanao jinyonga.. Hali ninayo ipitia kwa sasa ni Mungu tu anajua. Yaan kumbukumbu zooote za good moments zinakuja. Mbaya zaid kuna picha Zake kibao Nimesave kwenye Drive, natamani nianze kuzidelete. Ni almost Mwezi sasa tangu aniache. Kuna kipind unataman uchukue simu uombe msamaha muendelee ila unakumbuka kuwa hujamkosea chochote,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tuseme asante sana
Sasa si ukioshe tu na maji bombani[emoji23][emoji23]ahahaha kishaingia mchanga mkuu hakiliki tena 😎
Tunajengea matofali, wala roho isikupe shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Roho mbaya haijengi
Madam S: supermarket mambo
Supermarket: sijui
Madam S: we supermarket si nakusalimia jaman
Supermarket: si nimesema sijui: he?
Madam S: sasa ndo nini kusema hujui
Supermarket: ndo sijui
Madam S: sasa hujui nini?
Supermarket: nimeshakwambia sijui
Madam S: kuna kitu nataka nikwambie
Supermarket: utakachoniambia pia sijui
Madam S: unakumbuka siku ile mara ya mwisho uliniambia unataka unipe nini, ile dawa
Supermarket: hiyo pia sijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri Murua kabisa huu, mkuu unataka kusema kuna siku atakuja kujutia uamuzi wake?Zingatia ninachokwambia japo sikulazimishi kufata ushaur wangu
Futa hizo picha, kwa usalama wa afya yako, delete msgs delete kila kitu kuhusu huyo, tho mamba unayo kichwani usiisev kwa sim itoe tu, then jichanganye na watu usikubali kukaa peke yako, mistake itakayokugharim ni kumtafta tena wakat umeachwa , ukiacha achika mkuu komaa kama mwanaume kua mgum bana, huko na yeye ubampa a taste of her own medicine had atakapojua amekosea njia, break inauma natambua najua noloshapitia huko, halaf uikubali hali ya kuachwa, kubali she is no longee yours, jipende mwenyewe, vaa pendeza jitoe out jifrahishe wallah utasahau unayopitia, memories lazima zkuumize hii n lazima mana inakukumbusha jinsi mlikua na hapo mlipo
Ushauri Murua kabisa huu, mkuu unataka kusema kuna siku atakuja kujutia uamuzi wake?