supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Pia ninayo dawa ya kuondoa aibu.Hahahahahahahahahhahaa mimi huyu na aibu nilizokua nazo hahahhahahaa hapana
Ubavu wako hapo sawa, ila kama ni double hairuhusiwindio wapi tena??? Iyo kadi nataka nije na ubavu wangu vipi inaruhusiwa??
Inauma saana Mkuu. Napata mashaka kuamini kama kweli kuna wanawake wema dunia hii... Unaishi na mtu zaidi mpenzi, you share with her kila kitu. Ngoja niishie hapowewe waona hivyo ngoja nikwambia kitu
Ujue we umedumu miaka hiyo umeona mingi kuna watu wana zaidi ya hivo hata hivo ushukuru mtu ameshakwambia muachane what else do u want?? Amekua muwazi shida ni ile unataka kitu ambacho kw aupande wa pili hakiwezekani tena unakubali matokeo tu japo utaumia kubali kuumia tena umia haswa usiogope ila kamwe usimuoneshe adui yako madhaifu yako, amesema tuachane fine tuachane, sitisha kila kitu kuhusu yeye japo muda ulioinvest hauwez kurud kamwe, halaf unasahau sio riziki mkuu au hujui kiaicho riziki hakiliki???
Kweli kabisa tena hautajutia kumshirikisha munguukiwa na nia safi ukamtanguliza Mungu mbele inawezekana
Basi tafuta maharimu wako uje naye, hiyo haihesabiki kama ni doublehahhahahhahahahaa unajua hujatulia ww nimecheka sana
Sitaweza kuja mana hatoniruhusu
Bila shaka limekugusa kwa mtima wa moyo, niambie uzito wake. Au nimekukumbusha mbali[emoji23][emoji23]
si kila mahusiano yameandikwa yaishie kwenye ndoa mengine yapo kukufunza aina ya watu utakaokutana nao kwenye safari yako ya kimahusianoInauma saana Mkuu. Napata mashaka kuamini kama kweli kuna wanawake wema dunia hii... Unaishi na mtu zaidi mpenzi, you share with her kila kitu. Ngoja niishie hapo
mkuu huu tani wa ngumi kabisaMadam S: Daby mambo
Daby: zzzzzzzzz
Madam S: Daby si nakupa hai
Daby: mwanangu supermarket yule dem amejileta mwenyewe, ile dawa inafanya kazi. Unamkumbuka yule nilimwambia anifanyie connection na mdogo wake
Supermarket: sasa si umsikilize anasemaje
Daby: poa madam s nambie
Madam S: unajua siku zote nilikuwa nakukimbia, kuna kitu nataka nikwambie, yani kila nilivyojaribu kukukimbia roho imenishinda
Daby:[emoji44][emoji44]
Supermarket: [emoji44][emoji44]
Kivipi mkuu[emoji23][emoji23]mkuu huu tani wa ngumi kabisa
maana ya ex ni nini?? Tukianzia hapo mana kwa upande wangu mtu uliekua naye kwenye mahusiano mkaachana haijalishi kwa heri au shari n ex tayar, niko tayar kurekebishwaNaam nmesoma ,nmeelewa kila kitu na Meseji nzuri, na nikuhakikishie, masikio na Na akili yangu yote huwa lazima niitulize ktk hoja zinazolenga kurekebisha mahali fulani kwa namna moja au nyingine.
Nachoshukuru katika mahusiano sijawahi kua sehemu Au chanzo cha ugonvi.
Huenda hii ndo sababu sina 'Ex'.
inauma sana mkuu ila hakuna namna inabidi uache aende Mungu atakupa unachostahili sio unachokitaka na maisha yaendeleeMapenzi ni kitu cha hovyo saana, Maumivu ya mapenzi hayafanani na chochote.. Pia hayazoeleki.. Inaumiza zaiD demu umedumu naye takribani miaka mitatu, umepita naye ktk shida na Raha halafu anakuja mpumbavu mmoja anambeba kirahisi saana.. Tena anakuambia muachane Kwa lazima akiwa hana sababu ya msingi ya kufanya hivo
babe umesema bhana, chukua kadi kwa mwifwa tukacheze kwaitohapana sjasema
Something isn't right here.
Mi bado lawama nyingi nitazitupa kwa wadada tu hasa wa humu JF,Licha ya kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeyote but mmezidisha Copying & Pasting yaani hadi maisha mnayafanya hivyo.Everything you see in the Bongo movie you want every man to practice the same akiwa tofauti kidogo hana chake.