Gentleman,Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Kwani hawezi kuungana na CCM na akapata hayo maslahi makubwa?? Think brooKwamba Lisu akienda Ikulu atafanya kazi bila kulipwa chochote? Anapigania ajira ya uraisi kwa njia ya hadaa kuwa anawapigania wanyon ge ~ siasa ni ajira yenye maslahi makubwa.
Mtoe Askofu Shoo kwenye hii list..Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Amen, asante, ubarikiwe!.Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Naunga mkono !!!!!!!!!Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Ni vyema umeorodhesha wapenda HAKI wa upande huo; ingawa orodha ni ndefu zaidi ya hao.Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Matapeli tu hayoNdugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na familia zao na kuendelea na shughuli zao na wasipungukiwe na chochote kile. Lakini kama wangetaka maslahi wangeungana na watawala. Wanafanya haya yote kwa ajili ya kuitengeneza Tanzania iliyo bora zaidi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.
Nawaomba sana Watanzania wenzangu, tuwaunge mkono kwa kutoa michango yetu ya hali na mali ili kazi hii iendelee.
Mungu awabariki sana.
Wewe unachojuwa ni hizo ajira na kulipwa tu basi?Kwamba Lisu akienda Ikulu atafanya kazi bila kulipwa chochote? Anapigania ajira ya uraisi kwa njia ya hadaa kuwa anawapigania wanyon ge ~ siasa ni ajira yenye maslahi makubwa.
Haki ni nadharia inayohubiriwa lakini haijawahi na haitowahi kutekelezeka, sio Duniani tu ,hadi Mbinguni.Wewe unachojuwa ni hizo ajira na kulipwa tu basi?
Kama atapata ajira na kulipwa, halafu kukawepo HAKI tatizo kwako ni nini?
Kwa nini Samia asikubali HAKI itendeke, na aendelee kuwa na ajira na kulipwa?
Mwenyekiti wa Chadema halipwi? Anaamini akiungana na sisiemu hatoupata uraisiKwani hawezi kuungana na CCM na akapata hayo maslahi makubwa?? Think broo
Basi ndiyo inabidi CCM ilazimishweCCM haina political will of providing a fair and free election.
Huna lolote la kunifanya "nitafakari." Unataka nitafakari upuuzi, maneno ya kukariri bila ya kuelewa maana yake, ndiyo niyatafakari?Haki ni nadharia inayohubiriwa lakini haijawahi na haitowahi kutekelezeka, sio Duniani tu ,hadi Mbinguni.
Tafakari.
UPo mama...CCM haina political will of providing a fair and free election.
RelaxKwamba Lisu akienda Ikulu atafanya kazi bila kulipwa chochote? Anapigania ajira ya uraisi kwa njia ya hadaa kuwa anawapigania wanyon ge ~ siasa ni ajira yenye maslahi makubwa.