Mzee wa ubwabwa kapigwa 'pin' na NEC kuhusu 'kiki' yake ya ubwabwa kwamba ni rushwa, na ndio maana popularity na speed yake imepungua!Mchoraji amemuonea sana mzee wa ubwabwa, angemuweka ht top 4
Neck wakiamua wakuue watakuua tuu, wengine wanaleta wasanii lkn hawaongei chochoteMzee wa ubwabwa kapigwa 'pin' na NEC kuhusu 'kiki' yake ya ubwabwa kwamba ni rushwa, na ndio maana popularity na speed yake imepungua!