Amina"Andiko hili ni fumbo la imani "huu mwezi wana wa nchi hii watafika nchi ya Ahadi baada ya Taabu nyingi "Mungu wa Mbinguni atafanya safari yao iwe ya heri japo njiani kuna Nyoka,nge,Simba na njaa kali!!!"
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Amen...Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.
Neema ya Mungu ikufunike mwezi huu. Kila penye changamoto ukaone vilele vya vilima. Ukapokee nguvu mpya, ukapokee tumaini jipya, ukapate kibali mbele za Mungu na wanadamu.
Happy New month.
Na jiwe hili dhalimu likapate kuzama kilindini mwezi huu na uhuru mpya upatikane.Amina na Mungu ambariki Raisi wetu J.Magufuli, ubarikiwe sana kwa ujumbe huu, ...
Inaonekana Jiwe huwa anakupiga pipe, maana si kwa kujibebisha hivyo. Mtu unashindwa hata kuiombea familia yako au nafsi yako?Amina na Mungu ambariki Raisi wetu J.Magufuli, ubarikiwe sana kwa ujumbe huu, ...
Inaonekana Jiwe huwa anakupiga pipe, maana si kwa kujibebisha hivyo. Mtu unashindwa hata kuiombea familia yako au nafsi yako?
Laana za kutosha ziende kwa yule aliyefanya mauaji ya watu wasio na hatia na kuwagawa WATANZANIA.Neema ya Mungu izidi Kuwa na Rais wetu Mzalendo Dkt John Magufuli
Laana yake Muumba imuandamane Yeye anayechochea Usodoma