Ujumbe wa Mange Kimambi na vita ya Iran na Trump

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….

Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.

1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao.

2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani.

3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel.

4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania.

5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.

6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
 
Attachments

  • 20260320_053206.jpg
    20260320_053206.jpg
    42.7 KB · Views: 2

6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ??? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
Yuko sahihi kabisa kwenye haya maelezo
 
At least Mange amekuwa na msimamo mmoja (consistency) huwezi kemea mauaji ya wananchi TZ halafu mauaji ya ya wananchi wa Iran na serikali yao ukawasapoti.

Huwezi sema utawala wa CCM utoke madarakanni, lakini huwezi sema kwa nchi nyingine pia kama Iran.
 
Uongo mtupu
1. Hakuna wananchi wa Iran wanaotaka kupigwa mabomu ili utawala wa Ayatollah utoke madarakani pamoja na kwamba wapo wengi ambao hawautaki huo utawala
2. Trump hajaitika wito wa wananchi wa Iran bali wa Israel na Netanyahu na extremists evangelicals christians pamoja na makampuni ya Silaha.
3. Israel haijaitika wito wa wananchi wa Iran bali inafanya mashambulizi kama sehemu ya mpango wake wa kutawala mashariki ya kati na malengo ya greater Israel. Netanyahu amesema hili lilikuwa ni lengo lake kwa miaka 40 iliyopita.
4. Hakuna manufaa yoyote kwa Tanzania na dunia kama taifa moja litavamia Taifa lingine kiholela kama inavyofanya Marekani au Urusi.
5. CCM iko na wote kuanzia Islamic republic of Iran, Wachina, Warusi, Waarabu, Ulaya na hadi hata hao Marekani wenyewe. CCM ni chama kinachojali survival yake tu na ikibidi kiko tayari hata kumuhonga Trump na Wamarekani rasilimali za nchi ili kiendelee kubaki madarakani kwa utulivu muda mrefu kadri iwezekanavyo. Wiki hii tu hapa jeshi la Tanzania na la Marekani wamesainiana mikataba ya ushirikiano kibao.
 
5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.
Duh,
Basi wacha wapigwe kama ngoma
 
Pentagon: Operations detroyed whole iranian fleet in Caspian sea!

sounds familiar? islamic republic of iran ikianguka ndiyo mwisho wa islamic republic ya hapa pia ...
 
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….

Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.

1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao.
90% ya Iraniana wanaiunga mkono serikali yao na hawaipendi USA wala Israel. Ndio maana kila leo wana chant "death to America death to Israel".
2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani.
HUU UONGO AMBAO UMEDHIHIRISHWA NA RAIA WENYEWE WAKIIMBA KIFO KWA AMERIKA.
3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel.
Israel na raia wa Iran hawapatani hata kwa upunje. Na vita kati ya Iran na Israel ni geopolitical haihusiani na hiyo sababu.
Sababu ya UONGO na ya KITOTO.
4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania.

5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.

6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
-Raia wenyewe wa USA hawaitaki hiyo vita.Maseneta wengi wameikosoa hatua ya USA kuivamia Iran. Ketz ambaye alikua kiungo muhimu katika sekta ya ulinzi amejihuzuru kisa hii vita.
-Inamaana yeye Mange ana akili kuliko hao maseneta ambao ndio wenye nchi yao na wazawa wa hapo!???

Huyu dada tunasemaga akili hana na hajielewi watu wanakataaga.
Hoja za kitoto na za kijinga alizoziongea.
-Inamaana yeye ana akili kuliko mshauri wa Trump aliyemshauri asiingie vitani maana majadiliano yanaendelea vizuri!??
Maseneta wa USA wakimsikia watamchapa makofi.
 
Pentagon: Operations detroyed whole iranian fleet in Caspian sea!

sounds familiar? islamic republic of iran ikianguka ndiyo mwisho wa islamic republic ya hapa pia ...
Mabwege kama ninyi huwa mnanishangaza sana.
Mafwele aliyetekeleza mauaji kwa jezi ya polisi ni muislam??
Waziri mkuu Mwigulu ni muislam??
Makamu wa rais Nchimbi ni muislam!?
Waziri wa elimu ni muislam??
Jenerali mkuu wa jeshi ni muislam??

Huu ujinga mtaacha lini wa udini??
CCM chini ya mashirika yake pasi na kujali dini waliua watu kubali madarakani ikiwemo wakristo pia wamesalia madarakani.
Such a wasted sperm.
 
Kinachonihuzunisha ni kuwa hizo akili za Mange ndo zinaendesha CHADEMA kwa sasa. Inauma sana kuona watanzania wenzetu wanaenda kama nyumbu kuamini kila kitu kinachotamkwa na Mange au Maria. Kwamba Marekani kuivamia Iran na kuua raia wasio na hatia ni kwa maslahi ya wairan? Eh Mwenyezi Mungu tuepushe na haya mashetani yanayojiita CHADEMA.
Amen
 
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….

Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.

1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao.

2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani.

3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel.

4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania.

5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.

6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
Granted, the Iranian government is extremely evil, but no one in his or her right mind can believe that Trump and Netanyahu have launched this war to liberate the suffering Iranians.

Trump na Netanyahu husukumwa na maslahi yao wenyewe, sio maslahi ya wananchi wa taifa wanalolivamia. Kama hawana maslahi, majambazi ya Serikali ya nchi husika yanaweza kuchinja wananchi all they want and those mazafakas (and their countries) won’t heed a call to intervene to stop the carnage!
 
Dear Mr. President, POTUS However this Iran war turns out, you have earned my respect for keeping your word to the Iranian people as they were being massacred by their own government, you told them “help is on the way” and you effin’ delivered.

Illegal war my ass, international law my ass. If international law made any sense, it would allow intervention when a government is massacring its own unarmed citizens for daring to protest. Sovereignty should never be a shield for tyranny. If international law cannot protect innocent unarmed citizens in moments like these, then it is the law that must change because humanity cannot wait.

Mr. President, I had your back on day 0 of this war and I will have your back to the very last day, TOGETHER TILL THE END!!! @realDonaldTrump

Kwa ambae hayuko na mimi kwenye hili, pita kimya kimya kama unaaga maiti la sivyo ni block, kachezeni huko huko Lumumba kwa ma low IQ wenzenu ila sio kwenye hii page. #Trump
 
Back
Top Bottom