Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1398836755989.jpg
 
I have already made my mother cry kwa muda mrefu, ila ilikuwa ni utoto tu..... I wish ungekuwepo nikuombe msamaha, I wish ungekuwepo unione
 
I have already made my mother cry kwa muda mrefu, ila ilikuwa ni utoto tu..... I wish ungekuwepo nikuombe msamaha, I wish ungekuwepo unione

Nakumbuka siku moja ni mambo ya utoto tu nilifanya kitu mama akachukia mpaka akalia, siku hiyo nililia kwa kuomba msamaha mpaka nikahisi nguvu zimeniishia, akisema amenisamehe narudia kuomba msamaha, hadi mama akawa ananishangaa nimepatwa na nini.....nakupenda sana mama....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom