Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,210 85,319 Mar 24, 2020 #3 Unajipa matumaini eti uzuri wa mwanamke tabia, kama sura hata mbuzi anayo. Sasa kwani huko mtaami kwenu nani kamuoa Mbuzi..!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
Unajipa matumaini eti uzuri wa mwanamke tabia, kama sura hata mbuzi anayo. Sasa kwani huko mtaami kwenu nani kamuoa Mbuzi..!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
Y yuzazifu JF-Expert Member Oct 6, 2018 5,109 9,407 Mar 24, 2020 #4 mkuu leo hujaachiwa kodi ya meza mbona kama unatafuta huruma
Jaiter JF-Expert Member Aug 18, 2019 618 1,547 Mar 24, 2020 #5 Ukweli unaoelezeka kwa maneno machache. Asante
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,662 Mar 24, 2020 #6 Kila kitu kina faida yake kwa wakati wake. Sent using Jamii Forums mobile app
Carlos The Jackal JF-Expert Member Feb 6, 2017 24,040 71,280 Mar 24, 2020 #7 Sitaki mikaaa inisogelee