Ujumbe wa leo kwenye katuni

Msanii maarufu Masoud kipanya katika ujumbe wake wa katuni amemtaka Lowasa aachane na siasa kwani hana mvuto tena.Ujumbe wake huu hapa

wenzake kina membe na sita wametulia sijui yeye anahangaika nini wakati watanzania tulishamkataa, mwache apate za uso tena 2020 atoke manundu
 
Aaaaa mkuu wa jiji upooooo...
umeenda kumpongeza meya wako mpya?
 
Hata kule Burundi nkurunzinza ana wafuasi

Nkurunzinza is a hero. Nyie mnakazania kumsema Nkurunzinza lakini mnasita kuwasema KAGAME na MUSEVENI waliobadili Katiba. Nkurunzinza hakubadili katiba ila alitumia udhaifu wa katiba iliyokuwepo na kuongeza kipindi kimoja tu. This a CRUEL WORLD. Imejaa unafiki wa kutisha. Kwao Burundi Nkurunzinza anaungwa mkono na almost 80% ya Warundi lakini picha inayojengwa ni kana kwamba haungwi mkono kabisa.
 
MWACHENI KIJANA ANATAFUTA UONGOZI KWA HAMU
ANAFUATA MKONDO WA HAWA JAMAA

1.MAKONDA
2.POLEPOLE
3.VICK KAMATA
NAWENGINE WENGI

MAANA BILA HIVO UTAISHIA KUWA MWANACHAMA WA KAWAIDA

HUKU UMBEA UNALIPA
na makamba mnyoa unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…