Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,598
- 21,813
Mbona hiyo picha ya mda mrefu
Mimi sijatoa katuni Mama MdogoMKWEPAKODI, nimefuatilia kwenye gazeti la Mwananchi ambako Mr Massoud aka Kipanya huwa anachapisha cartoon zake na kwa toleo la leo tarehe 20 Machi 2016 nimekuta kuna katuni tofauti na hii uliyotoa. Nashauri ufanye marekebisho.
View attachment 331217
Usijali Mama Mdogo tupo pamojaSamahani MKWEPA KODI, hii message imeletwa na 'mcubic'.
Kama Alivyo Andrew Chenge!!Ni kama alivyo Mbowe CDM
Umekuwa mgeni na ccm?kule ukiwadhalilisha viongozi wastaafu au viongozi wa upinzani basi zawadi ni cheo cha kuanzia mkuu wa wilaya.ukizidi kujituma kwa kuwadhalilisha ndo unapanda cheo.Kwa nini mkuu?
sio lowassa ngoyai edward,mziki wa huyu mzee ni miaka 1000!
wasomaji ndo edo ila mwandishi, ila mchora katuni ndiye alie na tafsir sahihiTeh teh teh lowassa upoooo