MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,124
Mkuu mimi ni mlipa kodi mzuri sanaSawa mkuu....kalipe kodi, tuliendeleze taifa.
vyama vingapi vilisimamisha mgombea urais?ameshindwa lowassa peke yake?Maneno hayo kwanin yasiende kwa kila mgombea anayeshindwa?Ikiwa kipanya kuelezea mtazamo wake kwako inaonyesha kuwa ni njaa na msaka umakonda na wewe uulezapo mtizamo wako huu tufasili kuwa ni chuki yako na uhasidi ya kipanya?
Mm ni mwananchi wa kawaida ambaye nimeathirika pakubwa na serikali ya ccm. Siwezi kuogopa kusema ukweli wakati nazidi kuumia eti kwakua mtu kama wewe utasema nipo upande gani. Mm Sioni sababu ya Wana ccm kuendelea kutukana watu na kuwakashfu wakati nchi ipo mikononi mwao. Mm nadhani wangejikita kutatua hao maadui watatu ili watanzania wajionee kwa macho. Wamebaki kufanya propaganda ambazo hazina msingi na kutukana watu. Chance waliyonayo ni kubwa sana. Na ndo hiyo ukawa wanaililia kila siku. Sasa badala ya wao kuitumia vema wamebaki kuleta undeziHuu ni ujumbe tu, haijalishi anayeupokea anaukubali au anaukataa.....maelezo mengine yanaonesha tu unasimamia upande gani
Mkuu huyo kipanya anawayawaya, anataka kumfuatisha makondavyama vingapi vilisimamisha mgombea urais?ameshindwa lowassa peke yake?Maneno hayo kwanin yasiende kwa kila mgombea anayeshindwa?
msome Abraham Lincolin wa marekani,angaliwa alikataliwa mara ngapi kwenye ngazi mbalimbali za uongozi na kwa miaka mingapi kabla ya kuja kuwa Rais wa marekani
Eti njaa inamsumbua!!!Huyo kipanya njaa inamsumbua hivyo hawezi kutusumbua, tatizo makonda
Historia tayari imeshaanza kuwahukumu huoni jecha leo anaongoza tume ya uchaguzi yupo mapangoni?Nilishasema haipiti wiki humu ndani ukakosa thread ya Lowassa huyu ni mtu wa pekee sana. Huwezi zungumzia siasa ya Tanzania bila kumtaja Lowassa.
Teh teh teheee. Hakika historia itawahukumu.
Anaongozwa na tumbo, njaa mbaya sanaEti njaa inamsumbua!!!
Kweli wewe kituko
Tatizo vijana wengi washaaminishwa ili upate shavu basi lazima upige,utukane,ukashifu au upambane na wapinzani.Mkuu huyo kipanya anawayawaya, anataka kumfuatisha makonda
Upo sawa kwa 100% mkuuTatizo vijana wengi washaaminishwa ili upate shavu basi lazima upige,utukane,ukashifu au upambane na wapinzani.
WEWEEEE LOWASSA SIO WA HIVYO HATA SIKU 1, ungemjua usingepost umbea umbea wa magazetini.
Ongezeni nguvu za kuiba kura na kuipa ushindi wa goli la mkono CCM kule zanzibar.
KWANI NI LINI SIASA IMEFANANA NA UKAHABA?! MPAKA UTUWEKEE PICHA YA KAHABA HAPO! HAPO LOWASSA HAHUSIKI KABISA! HALAFU FIKIRIA SANA, LOWASSA HATUKANIKI! TAFUTA NENO LOLOTE, TUMIA NJIA YOYOTE, NA MTU YEYOTE, LAKINI AMINI NAKWAMBIA ATAENDELEA KUPENDWA TU.
Jidanganyeni tumamvi kwishney
Anapotoka sasaAnatufuta ukuu wa wilaya huyu, njaa za nchi hii bwana!
Kwa kuwa anaugusa UKAWA.Kwa nini mkuu?