Ujumbe wa leo katika picha.

Ujumbe wa leo katika picha.

Ni kweli ila wore tuna makosa me akiongea 1 ke kasema 10 ,Me akisema 5 Me anasema LAKI.TURUDI CHINI TUJITAFAKARI TUDUMISHE NDOA ZETU
Hili ndio kubwa japo hii inahusu wale waliokomaa kwenye hiyo ndoa ila kwa wale wenzangu na mie ni mwendo wa kususa tu yaani kila mmoja hana muda wa kukaa chini na kutafakari na anajiona yuko sahihi.
 
Hili ndio kubwa japo hii inahusu wale waliokomaa kwenye hiyo ndoa ila kwa wale wenzangu na mie ni mwendo wa kususa tu yaani kila mmoja hana muda wa kukaa chini na kutafakari na anajiona yuko sahihi.
Kuna haja wabobezi tuwe na ofisi za ushauri na usuluhishi wa migogoro ya Ndoa
 
Pombeeee tu! Bapa kwanza the rest yatafuata! Pombe ni rafiki wa kweli, Mwaminifu siku zote
 
Muruwa kabisa. Ndoa wa watu 2 wao ndio wanayo nafasi muhimu kwa mustakbali wa ndoa yao.
 
Back
Top Bottom