The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,144
- 102,813
Chumbani iiiiiiiiTujuzane hilo karo safi la kusafishia ndoa,
ndoa zimechafuka kweli,si utani
Chumbani iiiiiiii
Usisubiri uchafu uifunike mazima mkuu Wengi wetu huwa hatupendi kuzuia uchafu mdogo tunaacha Hadi itakapo chafuka yooote tukipata athari ndo tuanze tafuta sabuni na mafuta kuisafisha na kuipaka kumbe tusha chelewa.Chumba cha nani?
Unaijua ndoa iliyochafuka?
Chumbani hakukaliki
Nimecheka sana Duuh. Ndoa bana tuiwache tu iitwe ndoa.Chumba cha nani?
Unaijua ndoa iliyochafuka?
Chumbani hakukaliki
Kama nimekuelewa hivi. 👏👏 wengi tunakosea hapa na kuona wacha nikae kimya tu yatakwisha mwisho wa siku hali inakuwa mbaya hasaa.Usisubiri uchafu uifunike mazima mkuu Wengi wetu huwa hatupendi kuzuia uchafu mdogo tunaacha Hadi itakapo chafuka yooote tukipata athari ndo tuanze tafuta sabuni na mafuta kuisafisha na kuipaka kumbe tusha chelewa.
Sawa kabisa mkuu umeelewaKama nimekuelewa hivi. 👏👏 wengi tunakosea hapa na kuona wacha nikae kimya tu yatakwisha mwisho wa siku hali inakuwa mbaya hasaa.
Wengi hatuelewi PENDO+NDOA nI Nini na Maana yake NiniKwenye ndoa asitokee mmoja wenu akajiona yeye yupo juu ya mwenzake,au yeye ana haki zaidi kuliko mwenzake,
Kwenye ndoa kuna mambo mengi na ndoa sio kustarehe tu au kua na amani tu ndani ya ndoa,ugomvi,kutokuelewana navyo ni sehemu ya maisha ya ndoa,
Mwisho ndoa ni;
- Kusikilizana,
- Kuvumiliana,
- Kusameheana.
Nimecheka sana Duuh. Ndoa bana tuiwache tu iitwe ndoa.
Ila bora kama upo ndani na unahisi kunakalika au kama hakukaliki inawezekana siku moja kukakalika ni bora ubakie tu kwa kutafuta namna ya kukaa na kuishi kwa amani kuliko kutoka sababu huko nje asilimia 80 ni maumivu tu.Si mchezo!
Waliopo nje wanataka kuingia waliopo ndani wanataka kutoka
Hapa ndio tunateleza wengi kwa kutokuzifuata hasa hapo kwenye kuelekezana na kueleweshana kwani wengi hasa nyie Me basi mnajiona hicho kipengele huwa hakiwahusu.Huwengi hatuelewi PENDO+NDOA nI Nini na Maana yake Nini
PENDO Ni RAHA
NDOA Ni SIRI na SIRI YAKE Ni
-KUPENDANA
-KUSIKILIZANA
-KUVUMILIANA
-KUHURUMIANA
-KUSAIDIANA
-KUELEKEZANA
-KUELEWESHANA
-KUELEZANA hasa UKWELI
-KUPEANA
MKE na Mume wakizifuata hizi KANUNI ipasavyo tutapunguza migogoro isiyo ya lazima
Wanasemaga huwa ni sawa na kitunguu yaani ukiigusa lazima kiwashe na macho. 😁😁Dawa moja tu: Mwiko, tena Mwiiiko! Usichunguze simu ya mwenzio.
Ni kweli ila wote tuna makosa me akiongea 1 ke kasema 10 ,Me akisema 5 Me anasema LAKI.TURUDI CHINI TUJITAFAKARI TUDUMISHE NDOA ZETUHapa ndio tunateleza wengi kwa kutokuzifuata hasa hapo kwenye kuelekezana na kueleweshana kwani wengi hasa nyie Me basi mnajiona hicho kipengele huwa hakiwahusu.