FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,821
Mkuu so hiyo nimeitunga mimi?! Au ni moja ya vitu ulivyovisema?
Unajuwa maana ya "context", mfano niandike wewe umeandika "nimeitunga mimi". Hapo inakuwa nimeku "quote out of context".
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?