Ujumbe wa Leo huo jamani

Ujumbe wa Leo huo jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11011053_455779047913641_8916248584992079384_n.jpg


Uchumi wa Raia kila kukicha unaporomoka.
Lakini unasikia eti Uchumi wa Nchi unakua.
Ukuaji wake ni wa Mchicha au wa Mbuyu?
 

Attachments

  • ujumbe wa leo huo.jpg
    ujumbe wa leo huo.jpg
    28.1 KB · Views: 551
Maisha Boraaaa kwa kila Mtz. Poleni ila kama tutaruhusiwa kuingia kwenye ballot msijisahau mkalirudia kosa. Heri shimo usilo lijua
 
Inasikitisha sana jamani!kuna mwingine nilimuona amekalishwa kwenye baiskeli kama yuko hai halafu amefungwa na kamba mwili mzima aisee inasisimua sana
 
FaizaFoxy natumaini unaona hali halisi.
Mabadiliko ni lazima.
 
Last edited by a moderator:
Neema hiyo, leo anabebwa na pikipiki miaka ya Nyerere nimeona watu wanatoka Muhimbili wamebeba maiti mkononi wanakatiza nayo mtaani wanaipeleka kwao, bila machela. Hilo nimejionea kwa macho yangu. Tumetoka mbali.
 
Back
Top Bottom