lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 311
- 644
“Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa hayajaisha, tuendelee kushikana, kutiana nguvu na kulinda utu wetu. Tuwafariji walioumizwa na kuendeleza moyo wa kusaidiana. Mungu awatie nguvu na awapumzishe kwa amani wote waliotutoka.”View attachment 3511650