simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Maigizo ya jana machi 20 yanao lengo moja tu - ujumbe kwa wanzanzibari mtawala Tanganyika hatoi nchi kwa vikaratasi.Wanzazibari poleni-wengi wenu bila shaka mlikuwa na ndoto ya kuleta mabadiliko kupitia visanduku vya kura ndio maana mlijitokeza kwa wingi uchaguzi wa oct 25. Mmetiza wajibu wenu kama raia wema. Wazungu wanao msemo God works in mysterious and sometimes extremely violent ways.Tumwachie Mola.