Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,847
ukipanga yote barabarani yatafika kama kilomita tatu na nusu hivyo ni karibu sawa na kutoka D.I.T (kona ya barabara ya bibititi na morogoro) mpaka labda Mwembechai hivyo ni sawa na kusema kipande hicho cha barabara kimepotea, huu ni utoto!