Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
30,067
Reaction score
34,221
01 November 2025
SIKU YA 4 : MAANDAMANO

UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE


View: https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ

WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu.

Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa mapambano haya ya mabadiliko

Wito kuna makundi manne ambayo yametungusha, ila si wakati wa kulaumiana

Sasa Amiri Jeshi Mkuu ameagiza mamluki kutoka Uganda, M23, Msumbiji ambao wanafanya uhalifu

Hivyo TPDF msikubali amri isiyo halali ya Amiri Jeshi Mkuu kutoa amri mfanye mauaji, ni wakati wa kukataa amri hii isiyo halali

Viongozi wa kiimani nanyi mna muda wa kuchukua hatua za haraka kukemea uovu huu, na muwe na sauti moja kukemea ukandamizi huu wa watawala ili rais Samia angatuke kupisha utawala mpya wa mpito kuzuia umwagaji damu,Samia must go.

Watu wa chama cha Mapinduzi ni fursa ya kuomba msamaha na kumuondoa Samia

Idara ya Usalama mchukue hatua za kuwandoa wote wanaoipeleka nchi pabaya yaani Samia Hassan na mwanae Abdul Hafidh ambayo wanaonekana wameitaka nyara nchi. Idara ya Usalama mnajua cha kufanya kuwaondoa hawa wawili wanaoendesha mauaji na nchi kama himaya yao ya kiMalkia / Mtoto wa Malkia
 
Back
Top Bottom