Ujumbe muhimu kwa wababa

Umenena vema mtumishi.......ila hawa wakina HAWA......ukiwa mpole anakuona BWEGE.......anyway ..... asante kwa ujumbe bora kabisa....
 
Mistari kuntu hii. Ngoja nifanye mpango nipate biblia, siulituonya kuhusu kuchanganya biblia kwenye simu zilizojazwa picha za kina amber rutty?
 
Kuna wanawake visirani mkuu we acha tu ukikaa kimya ndo mwanzo wa yeye kukudharau


Ni mwendo wa kijeshi tu akili zao zitakaa sawa
 
Asiombe hela hovyo hovyo bali awe na heshima na pesa za mme wake MABAHARIA 10:3-8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom