Hata hawajui wanataka nini.Kudadeki zenu tukitafuta pesa mnalalamika mnasema tunapenda usawa tusipotafuta tukiwaomba napo mnalalamika mnasema tunapenda kuhongwa nguruwe wakubwa nyie
Kazi ya mwanaume ni kutafuta hela. Kwanini tuwasaidie majukumu yenu?Habari wana MMU
Siku zote hela ni chumvi katika chakula hivyo kumbe chakula kinaweza kuliwa bila chumvi lakini hakitakuwa na ladha yake lakini la maana kushiba
Wewe mwanamke ikiwa mwanaume wako amekosa kukupa hela ya saloon shopping nk iwe mwanzo wa kutafuta kazi nasio. Mwanaume mwingine""
Message DeliveredHabari wana MMU
Siku zote hela ni chumvi katika chakula hivyo kumbe chakula kinaweza kuliwa bila chumvi lakini hakitakuwa na ladha yake lakini la maana kushiba
Wewe mwanamke ikiwa mwanaume wako amekosa kukupa hela ya saloon shopping nk iwe mwanzo wa kutafuta kazi nasio. Mwanaume mwingine""
Mkuu kwa niaba ya Wanaume wote wa JF tuombe radhi aisee umetutusi tusi zito sanaKudadeki zenu tukitafuta pesa mnalalamika mnasema tunapenda usawa tusipotafuta tukiwaomba napo mnalalamika mnasema tunapenda kuhongwa nguruwe wakubwa nyie
NakaziaKudadeki zenu tukitafuta pesa mnalalamika mnasema tunapenda usawa tusipotafuta tukiwaomba napo mnalalamika mnasema tunapenda kuhongwa nguruwe wakubwa nyie
Ulikosa neno jingne tofauti na nguruwe?
Utajisikiaje baba ako akiitwa nguruwe?
That's the truth untold. And most of us are sucked into believing that money runs relationships.....kuna wakati unamiss real love yaan,
Mtu ambae mnaendana akupigie simu mchekee muongee ujinga basi akwambie...you know luckyline we have chemistry.... Not physics😁😁
Mkuu kwa niaba ya Wanaume wote wa JF tuombe radhi aisee umetutusi tusi zito sana
Hata hawajui wanataka nini.
Tafuta pesa, ni aibu kwa mtoto wa kiume hata kufikiria kuandika hiki ulichoandika.
Nipo kugongea msumaliNakazia.... Nguruwe wakubwa
....kuna wakati unamiss real love yaan,
Mtu ambae mnaendana akupigie simu mchekee muongee ujinga basi akwambie...you know luckyline we have chemistry.... Not physics[emoji16][emoji16]
Kudadeki zao na nusuKudadeki zenu tukitafuta pesa mnalalamika mnasema tunapenda usawa tusipotafuta tukiwaomba napo mnalalamika mnasema tunapenda kuhongwa nguruwe wakubwa nyie